Kwa hiyo kama kuna ovu maadamu linahusu wanasiasa basi Maaskofu wasiseme?
Sidhani kama ni sahihi sana na ni bahati mbaya kuwa na watu wengi wenye fikra za namna hii
Hospitali sio majengo mazuri ndugu, Huduma na upatikanaji wa vifaa muhimu na dawa pamoja na wahudumu wanaowiwa kuwahudumia watu kwa furaha si kwa hofu ya mtu fulani.
Kwenda tunaenda lakini si sahihi kwamba kwa kuwa tunaenda basi madhaifu yake yasisemwe.
Sijaelewa tatizo la ofisi ya Spika wa Bunge, Yaani walishindwa kuwaamini Mke wa Lissu, Kaka wa Lissu, Mbowe familia ya Lissu, kutuma mwakilishi aende na fedha cashau account ya CHADEMA na wakaona kuamini Hospitali ndio bora zaidi?
Kweli hii ni sawa kweli, bado naona kama naota
Je! ingetokea...
Hii nchi yapo mambo yanatia hasira sana, mimi nashangaa wabunge kupongezana wakati wao ndio chanzo cha hali zote hizi za kuibiwa kwa rasilimali za Taifa.
Tumewatuma kusimamia serikali cha kushangazwa wao ndio wanaosimamiwa na serikali na wakati mwingine unaona bunge linaagizwa na serikalli...
Poleni sana ndugu watumishi wa umma, ila msije mkawa manatudanganya kuwa hali ngumu wakati sie tunaoana mnawajibika kwa kasi na bashasha nyingi.
Tatizo kubwa miongoni mwenu ni kusalitiana sana, mwenye kacheo anajiona kama ndiye Mungu wa wenzake na hivyo anachofanya ni kupamba watawala na...
Naona kale ka uhuru ketu ka kutoa mawazo yetu kwa ajili ya kuonesha kasoro na changamoto za viongozi wetu kamepotea kabisa. Kila mtu natoa maoni huku akisoma mara mbilimbili kuona kama maneno ya kawaida aliyotumia hayawezi kutafsiriwa kuwa ni matusi na ya kuudhi au uuchochezi. Duhh!
Naona...
Kimsingi hakuna Chama ambacho kinajianzisha chenyewe bila ya wanachama wa chama fulani kujimega na kuanzisha tawi la Chama kingine.
Vyama vyote vya Upinzani vimejimega kutoka katika chama cha mapinduzi, na kwa kweli tunahitaji wananchama wengi wa ccm wajimege zaidi katika kutafuta nafasi zaidi...
Yeyote anayetaka kuzuia na kuzima taa inayowaka kwa vijana kupitia jamiiforum kwa vijana kupata habari alaniniwe na kila mtu.
Ni vema nchi ikaongozwa kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi na si mawazo na mtizamo wa mtu mmoja.
Jambo l a muhimu ni watu wote kufahamu kuwa uongozi ni dhamana na...
Nafikiri hakuna mtu mnafiki hapa duniani kama mwanasiasa, kwanza ana mipango mingi ambayo yote anakuwa hajui hata namna ya kuitekeleza.
Hakuna mtu anayesahau kile anachakisema kwa muda mfupi kama mwanasiasa. Na ni bahati mbaya sana kuwa kwa nchi za kiafrika hawa wanasiasa wanajua kuwa watu wao...
Only in Tanzania. Watumishi watahaha sana lakini naona wanasiasa wanaendelea kula kuku kwa mrija kwa sababu mheshimiwa anaendelea kuajiri watu wake wa kuteuliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.