Recent content by silvestre moises

  1. S

    Ushauri: Mpenzi huyu ni pasua kichwa, mbishi na majibu ya mkato

    Mvumilie uyo bado ni mzima anataka ukimuoa umkute mzima umwanzie nhumbani kwako, kiukweli huyo binti kalelewa yuko vizuli na yuko makini.
  2. S

    Mbali na mke, kuna mwanafamilia mwingine aliyemtembelea Lissu Nairobi?

    Acha unafki mnauana wenhewe kwajili ya kugombaniana vyeo mnasingizia watu nhie watu waajabu sana jichunguzeni kabla ya kulopoka.
  3. S

    Mwanaume kukaa bar mpaka saa 8 usiku wakati hatumiagi vilevi ni sahihi?

    Ukiona ivyo hana maerewano mazuli na mke wake ivyo anaenda kupoteza mda ili akifika akute mkewake kalala. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Hatimaye niko huru nataka mchumba please

    Samahani mkuu kwani wewe ni bikila? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

    Sikushauli utoe nitakua nimehusika kuuwa hichokiumbe, mtoto hawezikufa kama umemwachisha halaka kunhonha anapata maziwa vyakula juisi kwawakati na asilale na mamayake usiku mtoto kama anashibavizulihanashida.kuhusu mamayake anza nae saizi kuna matunda yapo spesho kwajili ya kuongeza damu juisi...
  6. S

    Msaada!!. Tuna mtoto wa miezi minne, unfortunately imenasa.

    Mke kajifungua kwa njiagani? Kama kajifungua kawaida haina shida, mwachishe mtoto kunhonha halakasana,mnunulie maziwa ya watoto lishe juis ya matunda chasing mama asiwe mvivu kumpikia wanakuwa vizuli. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    Mke wangu ameweka hii picha kwenye WhatsApp anamaanisha nini?

    Mwambie akaolewe na nahuyo jilani yake anae msikiliza mpaka kukuzalau wewe mumewake. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    Uzi maalum kupata taarifa yafanyikayo halmashauri na majimbo yaongozwayo na upinzani

    TUkukumbushe na mengine Rungwe na Kyela. Sent from my GT-I9152 using JamiiForums mobile app
  9. S

    Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

    Uko sasa mkuu naungana nawe.
  10. S

    Askofu Gwajima adai kutumiwa ujumbe wa kutishiwa kuuawa

    Hamna ukweli hapo ninavyo mjua angeanza kulopoka nakutukana.
  11. S

    Nimegundua Gwajima ni mwoga, mnafiki na mwepesi mno!

    Iyo hekima aifanhe kwa makonda ili jamii imuelewe na imuongezee heshima.
  12. S

    Wanaotaka kuondoka CCM waondoke watuachie CCM yetu

    Nchi imetekwa na wasukuma, wanzentu wanapigahera sisi tunapiga kerere watanzania funguka hawa watu wanatuijoi.
  13. S

    Kinachoendelea kati ya Gwajima na Makonda sio afya kwa maendeleo ya nchi

    Uko sahihi naungana nawe mtumishi mungu anderee kukutumia.
  14. S

    Mbowe, Gwajima jifunzeni kutoka kwa Ridhiwani Kikwete

    Tuwapongeze wazaziwao kwa malezi bola kwa watotowao, nimejifunza kitu kutoka kwa R na T mungu wabaliki vijana wako.
Back
Top Bottom