Recent content by Silivian

  1. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yangu nilikuwa namtumia hela kwaajili ya ujenzi wa apartment, lakini pesa alikuwa anazikopesha vikoba

    Nimekaa Oman kwa zaidi ya miaka 11 bila kurudi Tanzania, nikifanya kazi za ndani. Baadaye nikapata ajira nzuri zaidi kwa bahati nzuri kipato changu kikafika hadi takribani milioni 5 za Kitanzania kwa mwezi. Kutokana na juhudi hizo, nikaamua kuanza kujenga maisha ya baadaye. Nikamtumia mama...
  2. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania AURA

    Ila kuna makaburi mengine hayana aura kabisa, unapita usiku hata vinyweleo havisimami kama yale ya kinondoni.
  3. Silivian

    JamiiForums Tanzania MZIKI

    Linapokuja suala la kucheza mziki Mungu hakuwasahau watu wafupi.
  4. Silivian

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu wahenga

    Before ugunduzi wa condoms wahenga walikuwa wanatumia nini?
  5. Silivian

    JamiiForums Tanzania Kuna mafundisho fulani ya dini yakikuingia vizuri unakuwa huambiliki

    Kuna wanangu wa Siloamu Lile kanisa hawaruhusu hata kutoa damu na wanakupa jina jipya Kuna mwanangu alikuwa anaitwa Alex alipojiunga akabadilishwa jina akaanza kuitwa KIBALI Ile dini ikikuingia unakuwa huambiliki
  6. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Guarantee ya ndoa

    Kuna jamaa alikuwa na mahusiano yenye umri wa takribani miaka kumi mpaka wakulungwa wakaamini hawa ni kifo tu kitawatenganisha, Ila huwezi amini message moja tu ya simu iliua haya mahusiano tukabaki midomo wazi. Tulichojifunza ni kuwa umri wa mahusiano yenu hauguarantee ndoa.
  7. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa

    2/10
  8. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya sasa

    Kumuokoa mwanaume, mpe michongo.. Kumuokoa mwanamke, mpe mwanaume..
  9. Silivian

    JamiiForums Tanzania Chipsi za mtaani zinabaki kuwa bora na tamu

    Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile. Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa. Hasa chips inayopikwa sehemu chafu chafu huwa tamu sanaaaa kumzidi hata huyo KFC
  10. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, wajua?

    Unajua sifa ya mwanamke mwenye asili ya unyevu nyevu mikononi? •Ana hisia kali za mapenzi •kizazi chake kipo karibu ni rahisi kupata mimba •huwezi kumdhuru(hata ukiwa na nia ya kutaka kumfanya kitu kibaya mwisho mtaishia maongezi tu)
  11. Silivian

    JamiiForums Tanzania Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku moja

    Bongo swala sio kutapeliwa ila unaweza kutapeliwa mara mbili ndani ya siku hiyohiyo ukiwa na wenge.
  12. Silivian

    JamiiForums Tanzania China na Afrika: Nani Anaendesha Nini?

    Serikali ya china itakua inaendesha mambo mengi sana Africa miaka ijayo. Kuanzia miundombinu, biashara hadi sera. Hadi sasa wao ndio wanaendesha biashara karibu zote k.koo kupitia viwanda vyao. Wakizima viwanda tumepoteana. Wanaamua tuvae nini tuuze nini.
  13. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

    “Unaoa lini” swali lililo ulizwa zaidi juzi na jana uchagani.
  14. Silivian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika kuhusu wanaume

    Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits) Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
  15. Silivian

    JamiiForums Tanzania KAZI

    Ukiona mtu anapenda sana kwenda kazini ujue mwizi.
Back
Top Bottom