Recent content by silidion

  1. silidion

    Nafasi ya Katibu mkuu wa CHADEMA inatakiwa ijazwe Miezi isiozidi Mitatu tangu iwe wazi

    Wa kumfikia Dr SLAA kwa nafasi ya ukatibu Mkuu simuoni na hata akipatikana range haiwezi kuwa kama ya 2004-2015 aliyopata kuhudumu
  2. silidion

    Maswali kumi ambayo wafuasi wa CHADEMA na UKAWA wanahoji juu ya ziara za Edward Lowassa

    We subili Dr SLAA amalize kusoma ili atupe mwelekeo wa siasa makini ktk Nchi yetu@lizabon&ben
  3. silidion

    Magufuli ondoa bugudha ya kuchelewesha ajira za walimu

    Basi hata January mapema tuajiriwe jamani
  4. silidion

    Utafiti: Kwanini walimu wamefika hapa walipo leo

    Tuliohitimu walimu mwaka huu ajiri ni lini?kitaani pagumu
  5. silidion

    Ajira mpya za Ualimu

    Mchakato wa ajira kwa walimu naskia umeshaanza,kwaiyo kufikia January mwishoni tutakuwa na jibu kamili na ni kwa masomo yote ya sayansi na sanaa .chanzo,jamaa mmoja aliyekaribu na wanaofanya taratibu hizi wizarani
  6. silidion

    Kumradhi Sana Dr. Slaa Sikujua Unachojua Ndo Mana Nilikupinga Kwa Nguvu Zote!

    Dr SLAA maliza kusoma urudi jamani tunakuitaji
  7. silidion

    Dr. Wilbroad Slaa yuko wapi?

    Kila ninaposikia jina la slaa roho yangu upata burudani ghafra.nampenda sana.Dr toa neno moja wafuasi wako tupone.
  8. silidion

    Elimu bure: Wanafunzi Shule ya Sekondali Ihungo waandamana kupinga mazingira mabovu shuleni hapo

    Wanafunzi wa Ihungo nimeshuhudia kwa macho yangu wakichapwa na police,nimeumia sana
  9. silidion

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Chadema imeangushwa na viongozi wetu wenyewe,sioni haya kuwataja,mbowe,lissu,MSIGWA,lema,mdee,myika pamoja na jembe slaa ila baadae wakatugeuka kwa kutueleza tumsamehe lowasa.kizuri slaa alisimamia ukweli.nitakupenda daima Dr slaa
  10. silidion

    Msimamo wetu sisi CHADEMA asilia

    Kudai chadema yetu nipo tiari.
  11. silidion

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Kujitoa kwa slaa niliona mambo yalivyoharibika,ila sikujua kama yangefikia kiasi hiki.
  12. silidion

    Nafasi ya Katibu mkuu wa CHADEMA inatakiwa ijazwe Miezi isiozidi Mitatu tangu iwe wazi

    Dk.slaa anaweza kurudi maana wa kuvaa viatu vya ukatibu Mkuu pale simuoni
  13. silidion

    Muamala wa Lowassa hatarini

    Pesa kitu kingine,kubenea amesifika kwa kutokuwa mwoga katika kuandika habari za ufisadi Wa lowasa na wengineo Leo baada ya chadema kumpa ridhaa ya ubunge Leo ajenda ya ufisadi kwenye mawio na mwanahalisi online haipo tena.pesa hizi jamani....!
Back
Top Bottom