Utafiti: Kwanini walimu wamefika hapa walipo leo

Utafiti: Kwanini walimu wamefika hapa walipo leo

mshahara wa mwalimu mwenye degree ni sawa na posho ya siku mbili ya mbunge kweli huu unyonyaji hivi huyo mbunge bila mwalimu angefika hapo alipo?

posho ya siku mbili ya mbunge na chenchi inabki Laki 1!!
Can u imagin??daah..Tanzania hii..??mh!
 
Sasa wewe Mwalimu mjinga na lofa unataka ulipwe sawa na Mbunge,walimu tumelogwa na tumefunga ndoa ya mateso
 
Acha kazi yenye maslahi madogo, kafanye kazi yenye maslahi makubwa.
 
Mfumo mbovu wa Elimu Pia unachangia sana Ualimu kuwa kazi ya mpito na ya wasiyojiweza. Tumuombe Magufuli abadilishe hili jinamizi linalokula nchi.. MFUMO MBOVU WA ELIMU.
 
nataka kuanzisha kampeni ya kujitoa CWT pamoja na makato yake naomba kwa walimu walio tayari tujulishane kwa pm
:bump2:
 
Umejieleza vizuri,ukweli %kubwa ya walimu ni wale waliofeli!!!!

Hizi ni fikra mgando kusema hivyo.Ni taaluma ipi ambao hawa kufeli? Kufeli ni hatua nyingine ya kufanikiwa,mbona kwa walimu tu?
 
Umoja wa walimu mgumu kwani tumechanganyika. kuna waliofeli na waliofoji vyeti wao husema heri nusu shari.

Heri waliofeli maana wanaogelea kwenye bahari wanayoijua kina chake.
 
Hao wanaoshindwa hata kutambua mlima!Ni wale makanjanja natilia mashaka vyeti vyao kuwa ni halali? fani imeingiliwa.

Usitilie shaka mkuu,utendaji kazi haupimwi kwa kuangalia vyeti vyenye alama za juu,kuna ambao hawana kabisa hivyo vyeti lakini wanatoa matokeo mazuri?
 
MR ADAM....hadi huruma yaaani tukaze moyo tutalipwa na MUNGU! I feel more pinch with ur msg!!!
 
Last edited by a moderator:
Walimu wengi wanapenda kujipendekeza kwa wakuu wa shule ili wapendekezwe kwenda kazi maalumu

huko ni kutojiamini kwa walimu hao,hao ndiyo wanaofanya wawe na tabia ya kupendelewa.
 
Mliowaponda walimu katika Uzi huu wote mabwege na marofa, Mimi ni Mwl. nimesoma chuo hostel mwaka wa kwanza niliishi room Moja na walimu wenzangu wa3, wote tulikuwa na division one form 6, mwaka wa pili nikaishi na jamaa aliesomea tourism na BBA wote walikuwa na division three form six, mwaka wa tatu tulikuwa wa4 walimu tupu, watatu tuna one na mmoja two, sasa sijui mnazungumzia walimu wa miaka hii ya Distinction na Merit, sijaelewa.
 
Nakubaliana na utafiti wako kwa asilimia 45 lakini napingana nawewe kwa asilimia 40 hasa pale unapo kifananisha CWT na chama cha madreva maana were mwenyewe unatamani kuwa dreva kuliko fani yako ya ualimu.
Chama cha walimu ni trade union ambayo lengo kuu nikumtetea mwalimu nakudai haki ya mwalimu kutoka kwa mwajiri kwa vile tunaamini umoja ni nguvu.Angalia ni jinsi gani unavyoshirikiana na mwakilishi wa CWT mahala pako pa kazi.CWT pamoja na changamoto zake iko imara kuliko chama kingine cha wafanyakazi Tanzania.
 
Mmmmmmmh, wizi mtupu, wanavizia vihela vya walimu tu hao, hakuna wanachofanya hao, nyuki wa mashineni hao
 
Kwanza nipende kuwapongeza walimu wenzangu mmekuwa na lugha nzuri hasa kuwajibu wale wanaokuja na kejeli...pili tunasalitiwa na walimu wenzetu waliopewa madaraka..mfano ukienda halmashauri wale asilimia kubwa ni walimu lakini ona wanavyotunyanyasa,ona wakuu wa shule jamanii tabu tupu utadhani wanapata ma bilioni ya pesa...dah
 
Walimu wengi wanapenda kujipendekeza kwa wakuu wa shule ili wapendekezwe kwenda kazi maalumu

Mkuu uko sahihi sana,mimi nilimwambia Mkuu wangu wa shule,"kama kuhoji mambo ni kujinyima fursa za kazi maalum,basi kuanzia sasa niondoe kabisa katika orodha ya watu wa kufanya kazi hizo maalum,lakini sitokubali kuendeshwa kama boya kana kwamba sio binadamu kamili" nitahoji na kuhoji na kuhoji!!!
 
Back
Top Bottom