Recent content by SiliconValley

  1. S

    Wauzaji wa Kemikali mbalimbali nchini Tanzania

    Hapo nyingi hutengeneza sabuni. Acid ni kwa ajili ya matumiz ya kikemia zaidi mfano formaline kutunzia maiti, nk
  2. S

    Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

    Uzee kwako ni mzigo kwetu. Sasa hapo hatari iko wapi acha kuwa na mawazo mgando. We unapakana na congo, burundi na rwanda, unatishiwa nini na znz
  3. S

    Natafuta partner tufungue mechanical workshop

    Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati katika biashara, Maoni yangu nipate mtu ambae ana elimu ya ufundi katika kusimamia mafundi/ kazi au...
  4. S

    Saed Kubenea amburuza Paul Makonda Mahakamani, kupanda kizimbani Desemba 3, 2021 kwa makosa ya jinai

    Ukiona panya anamtukana paka na majivuno mengi jua kuna shimo karibu. Kubenea ni panya na ana uzoefu sana na mashtaka dhidi ya serikali
  5. S

    Pendekezo la Kidiplomasia: Diamond Platnumz Apewe Pasi ya Kibalozi (kama hana)

    Ni mawazo mazuri ila ktk serikali isiyo na mipango endelevu. Ni sawa na kile tulichofanya ktk mashindano ha afcon, au tunavyo mpa sapoti dhaifu Samatta, na pia tumemsahau H. Thabit. Tazama bunge lilisafiri kwenda Misri kushangilia kabumbu, bila kujua mikakati ipi ilitumika kufika huko, mpaka...
  6. S

    Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

    Kodi sio shida, maana huo sio mzigo wa investor bali wa consumer, mzigo upo ktk Power au Nishati, hicho kitu sikia kwa watu lakini tulio ktk manufacturing Industries ni balaa, shida ya pili ni soko, huwezi wekeza multi milion Dola ukitegemea kuuza ndani hali ya kuwa majirani na sisi wenyewe...
  7. S

    Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

    Please stay silent, unashindana na watu wenye akili ndogo sana na wote hakuna mwenye economic analysis, walokuelewa hawacoment tena wanapita tu. Good night
  8. S

    Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

    Hujamwelewa kabisa, jamaa hana bifu na ujenzi, bali anataka miradi ya kimkakati ndo ipewe nafasi, na sio miradi inayofanywa kisiasa, mfano SGR ipo kimkakati, ndege ni kimkakati, dar kibaha road ni kimkakati,je uwanja wa chato upo kimkakati kwa vp? Kiuchumi sio sahihi kujenga uwanja Chato, bali...
  9. S

    Mahad Nur: Msomalia Wa City Mall na Victoria Plaza, Vijana wa Kitanzania tuko wapi?

    Katika maisha ya sasa jitahidi uwe wa mwisho kuamini. Kwani hata dunia imebaki kipande, there is a secret of unknown.
  10. S

    Bajeti ya Kenya ni mara mbili zaidi ya Tanzania,Je kuna tatizo gani?

    Wakati mwingine ukichangia jitahidi uweke namba yaani takwimu. Vingenevyo naona umeamua tu kusifia kama green Guard .
  11. S

    Bajeti ya Kenya ni mara mbili zaidi ya Tanzania,Je kuna tatizo gani?

    Wakati mwingine ukichangia jitahidi uweke namba yaani takwimu. Vingenevyo naona umeamua tu kusifia kama green Guard .
  12. S

    Wakurugenzi na dhana ya usimamizi wa uchaguzi mkuu

    Huu ujinga mlio nao ndiyo mnafanya mpaka karne hii ya space revolution , mkijenga barabara ya lami eti mnashangilia, mnanunua ndege mnashangilia, alowauzia yeye anawaza life in the moon na alienda space 1950s, unamsifia mtu akijenga nyumba eti hospitali, mpaka leo mnawaza umeme na maji. Mafuta...
  13. S

    Wakurugenzi na dhana ya usimamizi wa uchaguzi mkuu

    Je hawa wakurugenzi ni wa chama gani, wanachaguliwa na nani?
  14. S

    Kuhusu hisa za makampuni yaliyo kwenye Soko la Hisa Dar (DSE)

    Nilishawahi kuwaza, ila niliingiwa na hofu kuwa jiwe walilolikataa waashi laweza kuwa jiwe kuu la pembeni hadi 2025. Na hii itarefusha safari ya kusubiri
Back
Top Bottom