Wakurugenzi na dhana ya usimamizi wa uchaguzi mkuu

Malick M. Malick

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
658
Reaction score
314
WAKURUGENZI NA DHANA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI

1. Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuonyesha kuwa wakurugenzi waliopo waliteuliwa sababu ya ukada wao ,si dhana njema ni upotoshaji unaofanywa na wasomi wa upinzani ..hoja yao kubwa sababu baadhi yao walikua wagombea ubunge ..

2.Wakurugenzi waliopo Halmshauri wanasimamia mambo mengi sana ,Elimu,Afya ,Maji,Miundombinu ,na miradi mingi ya maendeleo kuzani wapo pale sababu ya uchaguzi Mkuu sio sawa ,wapo watakaostahafu kabla hata ya uchaguzi ,uchaguzi ni Mara moja ndani ya miaka mitano ,kwahiyo Mtumishi wa Umma mwenye uwezo asipandishwe cheo sababu aliwahi kuwa mgombea ubunge ,udiwani .

3.Pia kuna wakurugenzi walikua watumishi wa Umma kabla ya 2015 na ikumbukwe Utumishi unakoma kwa miaka sitini (60) kwa mujibu wa sheria za kazi na Utumishi wa Umma,kati ya wakurugenzi 74 wanaotajwa zaidi 40 kati yao walikua Watumishi wa Umma katika nafasi mbalimbali ,kugombea kwao Ubunge au Udiwani 2015 hakukufanya Utumishi wao kukoma (rejea waraka Mkuu wa Utumishi wa Umma namba 1.wa mwaka 2015)

Hivyo kuteuliwa kwao kunatokana na sifa stahiki walizokua nazo ,hata wale ambao hawakua watumishi wa Umma baada ya kuteuliwa tu kuingia katika Utumishi wa Umma, wamekua watumishi wa Umma na wanafanya kazi kwa mujibu wa taratibu ,kanuni na sheria ,hawafungamani na chama chochote cha Siasa kwa mujibu wa sheria

4.Pia katika usimamizi wa uchaguzi ikumbukwe vipo viapo ambavyo hutumika hawasimamii kwa hisia bali mujibu wa sheria na kanuni

5.Tuwatie Moyo watendaji wetu ,sio kuwabeza ,na kuwadhihaki kuwabagaza katika mitandao ya kijamii ,

Mwisho ,ieleweke wakurugenzi wengi walikua watumishi wa umma kabla ya 2015 na wachache wameingia kwenye Utumishi wa Umma baada ya kuteuliwa wakurugenzi mamlaka za serikali za mitaa ,kugombea sio kigezo cha kutoendelea na Utumishi wa Umma au kuteuliwa na kuwa mtumishi wa Umma
 
Ulishawahi kusikia Mtu wa Chama Cha Upinzani akateuliwa ukurugenzi na akasimamia uchaguzi?[emoji1321]‍♂️
 
Unachokitetea binafsi naona hakina mantiki. Jambo la msingi ni vyema mkaheshimu tu maamuzi ya mahakama.

Na bado tunahitaji mabadiliko kwenye tume ya uchaguzi kuwa huru na viongozi wake kuteuliwa na Rais na mwisho wajadiliwe uadilifu wao na kuthibitishwa na bunge huku wakipewa mamlaka na kutokuingiliwa kiutendaji na mhimili wowote ule.
 
Hakuna mantiki yoyote kwenye ulichoandika.Umetoa maelezo marefu sana yasiyoeleweka unataka nini.Suala la msingi ni kwamba katiba ya nchi inakataza mwanachama wa chama cha siasa kuwa msimamizi wa uchaguzi,hapo ndipo tafsiri ya kisheria ya mahakama ya ilipojikita na wewe ili ueleweke na watu wenye akili timamu ni vizuri ujikite katika katiba na sio porojo na propoganda dhaifu.
 
Huu ujinga mlio nao ndiyo mnafanya mpaka karne hii ya space revolution , mkijenga barabara ya lami eti mnashangilia, mnanunua ndege mnashangilia, alowauzia yeye anawaza life in the moon na alienda space 1950s, unamsifia mtu akijenga nyumba eti hospitali, mpaka leo mnawaza umeme na maji. Mafuta, dhahabu, almasi na gesi kwenu ni kama havina msaada. Mnapongezana sana mkiwa na nguo kama za yanga. Think out of the box
 
WAKURUGENZI NA DHANA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI

1. Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuonyesha kuwa wakurugenzi waliopo waliteuliwa sababu ya ukada wao ,si dhana njema ni upotoshaji unaofanywa na wasomi wa upinzani ..hoja yao kubwa sababu baadhi yao walikua wagombea ubunge ..

2.Wakurugenzi waliopo Halmshauri wanasimamia mambo mengi sana ,Elimu,Afya ,Maji,Miundombinu ,na miradi mingi ya maendeleo kuzani wapo pale sababu ya uchaguzi Mkuu sio sawa ,wapo watakaostahafu kabla hata ya uchaguzi ,uchaguzi ni Mara moja ndani ya miaka mitano ,kwahiyo Mtumishi wa Umma mwenye uwezo asipandishwe cheo sababu aliwahi kuwa mgombea ubunge ,udiwani .

3.Pia kuna wakurugenzi walikua watumishi wa Umma kabla ya 2015 na ikumbukwe Utumishi unakoma kwa miaka sitini (60) kwa mujibu wa sheria za kazi na Utumishi wa Umma,kati ya wakurugenzi 74 wanaotajwa zaidi 40 kati yao walikua Watumishi wa Umma katika nafasi mbalimbali ,kugombea kwao Ubunge au Udiwani 2015 hakukufanya Utumishi wao kukoma (rejea waraka Mkuu wa Utumishi wa Umma namba 1.wa mwaka 2015)

Hivyo kuteuliwa kwao kunatokana na sifa stahiki walizokua nazo ,hata wale ambao hawakua watumishi wa Umma baada ya kuteuliwa tu kuingia katika Utumishi wa Umma, wamekua watumishi wa Umma na wanafanya kazi kwa mujibu wa taratibu ,kanuni na sheria ,hawafungamani na chama chochote cha Siasa kwa mujibu wa sheria

4.Pia katika usimamizi wa uchaguzi ikumbukwe vipo viapo ambavyo hutumika hawasimamii kwa hisia bali mujibu wa sheria na kanuni

5.Tuwatie Moyo watendaji wetu ,sio kuwabeza ,na kuwadhihaki kuwabagaza katika mitandao ya kijamii ,

Mwisho ,ieleweke wakurugenzi wengi walikua watumishi wa umma kabla ya 2015 na wachache wameingia kwenye Utumishi wa Umma baada ya kuteuliwa wakurugenzi mamlaka za serikali za mitaa ,kugombea sio kigezo cha kutoendelea na Utumishi wa Umma au kuteuliwa na kuwa mtumishi wa Umma
Kawaambie Lumumba wenye akili hawadanganyiki. Hoja yako ni kama Mahakama imekosea. Walitakiwa kuacha utumishi wa uma ndipo waingie kwenye siasa. Na baada ya kubwagwa kwenye siasa waombe kazi upya kwenye utumishi wa umma. Hapa unasahau kuwa mwenyekiti wa COM si mamlaka Yao ya uteuzi.

Mbeleko imechakaa kanunueni mbeleko nyingine.
 
WAKURUGENZI NA DHANA YA USIMAMIZI WA UCHAGUZI

1. Upo upotoshaji katika mitandao ya kijamii kuonyesha kuwa wakurugenzi waliopo waliteuliwa sababu ya ukada wao ,si dhana njema ni upotoshaji unaofanywa na wasomi wa upinzani ..hoja yao kubwa sababu baadhi yao walikua wagombea ubunge ..

2.Wakurugenzi waliopo Halmshauri wanasimamia mambo mengi sana ,Elimu,Afya ,Maji,Miundombinu ,na miradi mingi ya maendeleo kuzani wapo pale sababu ya uchaguzi Mkuu sio sawa ,wapo watakaostahafu kabla hata ya uchaguzi ,uchaguzi ni Mara moja ndani ya miaka mitano ,kwahiyo Mtumishi wa Umma mwenye uwezo asipandishwe cheo sababu aliwahi kuwa mgombea ubunge ,udiwani .

3.Pia kuna wakurugenzi walikua watumishi wa Umma kabla ya 2015 na ikumbukwe Utumishi unakoma kwa miaka sitini (60) kwa mujibu wa sheria za kazi na Utumishi wa Umma,kati ya wakurugenzi 74 wanaotajwa zaidi 40 kati yao walikua Watumishi wa Umma katika nafasi mbalimbali ,kugombea kwao Ubunge au Udiwani 2015 hakukufanya Utumishi wao kukoma (rejea waraka Mkuu wa Utumishi wa Umma namba 1.wa mwaka 2015)

Hivyo kuteuliwa kwao kunatokana na sifa stahiki walizokua nazo ,hata wale ambao hawakua watumishi wa Umma baada ya kuteuliwa tu kuingia katika Utumishi wa Umma, wamekua watumishi wa Umma na wanafanya kazi kwa mujibu wa taratibu ,kanuni na sheria ,hawafungamani na chama chochote cha Siasa kwa mujibu wa sheria

4.Pia katika usimamizi wa uchaguzi ikumbukwe vipo viapo ambavyo hutumika hawasimamii kwa hisia bali mujibu wa sheria na kanuni

5.Tuwatie Moyo watendaji wetu ,sio kuwabeza ,na kuwadhihaki kuwabagaza katika mitandao ya kijamii ,

Mwisho ,ieleweke wakurugenzi wengi walikua watumishi wa umma kabla ya 2015 na wachache wameingia kwenye Utumishi wa Umma baada ya kuteuliwa wakurugenzi mamlaka za serikali za mitaa ,kugombea sio kigezo cha kutoendelea na Utumishi wa Umma au kuteuliwa na kuwa mtumishi wa Umma
Acha upotoshaji Watanzania sio Wajinga kama unavyofikiri tunajua mengi pengine kuliko wewe
 
Nikiona hizi mambo mnazotetea.... Naona umuhimu wa elimu. Wakielimika wengi hakuna atakayevumilia huu utumbo ulioandika. Kwanza hakuna atakayeuandika in short. Elimu ni muhimu sana Kwa ustawi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom