Rais Samia, jaribio lolote la kuipa Zanzibar mamlaka kamili ndilo litakuwa anguko lako

Sijui hii hoja itabadili nini katika mhjadala. Ikiwa kuna senator 100 na VP kama tie breaker kinabadili vipi mantiki ya nilichozungumzia? trivial

Kwani muundo wa sasa upoje? Si tuna Zanzibar na Tanzania! hii Tanzania inahudumia nini na inapata wapi kodi
Tofauti itakayokuwepo ni uwajibikaji wa Zanzibar , kwamba, hawatakuwa katika mbeleko na hilo litapunguza mzigo kwa Watanganyika. Otherwise gharama za ''fed' ya sasa anazibeba Mtanganyika! kwanini huoni hili?

Tulifanya ulinganifu wa Feds ya Warioba na ya US ambayo wewe unadhani tunaweza kufanya copy and paste
Ndipo nimejaribu kukuonyesha kuwa House of rep ya Fed na ile ya Warioba ni tofauti kutokana na population na usidhani kuwa gharama zitakuwa kubwa kwa jicho la US m India au kwingine

Kwani kufanya taxing kwa Feds itaongeza gharama?

Hivi unahabari kwamba US states zinachangia Feds! halafu kuna Fed tax ! unajua hili?
Kwa wingi wa states ukilinganisha na Tanzania unafanya comparison gani ndugu yangu?

FYI leo Rais wa Zanzibar kamteua Jai mkuu wa Zanzibar! Sijui huyu wa Tanzania ana kazi gani
Unaweza kuona kwanini Waioba alishauri mambo 7 tu na 3 ndiyo yenye gharama kubwa

Unapotosha sana. Governing system ya Marekani imegatua madaraka extensively. Unawezaje kulinganisha representation ya watu 330+ million wenye 535 federal legislators na 7,410 state legislators (for a total of 7,945 federal and state legislators) na representation ya watu 60+ million wenye 75 federal legislators na less than 400 state legislators (for a total of less than 475 federal and state legislators)? Hii ni hesabu rahisi ya uwiano, tuliyosoma shule ya msingi! Ili comparison yako iwe meaningful, representation ya wale watu 60+ lazima ibadilike sana, either at the federal level or at the state level. Na kufanya hivyo, maana yake kuongezeka kwa gharama za uendeshaji wa nchi ya Tanzania as a whole.
Una maana gani unaposema U.S. states zinachangia Feds? Marekani, federal taxes have nothing to do with state taxes. Zipo states ambazo hazina hata state income tax, lakini raia wake bado wanalipa income taxes to the federal government kama tu wafanyavyo raia wa states zingine. Mfano wa hizo states ni Texas na Florida.
Uwepo wa multiple layers of taxation (federal, state, local) maana yake ongezeko la gharama. Hata usipoipa federal government mamlaka ya kutoza kodi (taxing authority), kwa kufuata ile flawed setup inayopendekezwa na Draft ya Katiba ya Tume ya Warioba, lazima kuwe na compensating effect kwenye state (na pengine local) taxes.
Zanzibar ina mahakama zake yenyewe (isipokuwa haina court of final appeal) na ina Chief Judge wake. Huyo Chief Judge ana hadhi sawa na Principal Judge wa Mahakama Kuu yetu ya huku mainland. Chief Justice wa JMT ndiye boss wao wote wawili, na Court of Appeal ya JMT ina jurisdiction katika pande zote za JMT, tofauti na ilivyo kwa mahakama kuu zilizomo kwenye hizo pande mbili.
 
Kuna tabu gani tukawa na Rais wetu raisi wa tanganyika

That isn’t the point. Kuna upotoshaji mkubwa kwamba hakuna engezeko la gharama hata tukiwa na Muungano wenye serikali tatu! Tukiamua kufuata njia hiyo, tuende tukijua engezeko la gharama lipo.
 
Unapotosha sana. Governing system ya Marekani imegatua madaraka extensively. Unawezaje kulinganisha representation ya watu 330+ million wenye 535 federal legislators na 7,410 state legislators (for a total of 7,945 federal and state legislators) na representation ya watu 60+ million wenye 75 federal legislators na less than 400 state legislators (for a total of less than 475 federal and state legislators)? Hii ni hesabu rahisi ya uwiano, tuliyosoma shule ya msingi! Ili comparison yako iwe meaningful, representation ya wale watu 60+ lazima ibadilike sana, either at the federal level or at the state level. Na kufanya hivyo, maana yake kuongezeka kwa gharama za uendeshaji wa nchi ya Tanzania as a whole.
Una maana gani unaposema U.S. states zinachangia Feds? Marekani, federal taxes have nothing to do with state taxes. Zipo states ambazo hazina hata state income tax, lakini raia wake bado wanalipa income taxes to the federal government kama tu wafanyavyo raia wa states zingine. Mfano wa hizo states ni Texas na Florida.
Uwepo wa multiple layers of taxation (federal, state, local) maana yake ongezeko la gharama. Hata usipoipa federal government mamlaka ya kutoza kodi (taxing authority), kwa kufuata ile flawed setup inayopendekezwa na Draft ya Katiba ya Tume ya Warioba, lazima kuwe na compensating effect kwenye state (na pengine local) taxes.
Zanzibar ina mahakama zake yenyewe (isipokuwa haina court of final appeal) na ina Chief Judge wake. Huyo Chief Judge ana hadhi sawa na Principal Judge wa Mahakama Kuu yetu ya huku mainland. Chief Justice wa JMT ndiye boss wao wote wawili, na Court of Appeal ya JMT ina jurisdiction katika pande zote za JMT, tofauti na ilivyo kwa mahakama kuu zilizomo kwenye hizo pande mbili.
Kwanza, kuna jambo umeligusia kuhusu elimu ya msingi, ni kweli nilipata hiyo elimu. Kuna nyakati unapaswa kujadiliana na watu wote ukilenga kuwasaidia, sisi wa shule ya msingi tunahitaji sana maono na mchango wako.
Usighadhabike tuvumilie na endelea kutusaidia

Pili, kuna vitu viwili unaviweka kapu moja pengine kwa makusudi ili kupotosha kwa urahisi au kutojua

Ukiiangalia Marekani na muundo wake wa Feds ni tofauti na maeneo mengine.
Usiangalie US kirahisi, angalia idadi ya states, population na ' unconventional '' matter or situation.

Jiulize kwanini Ohio ina electoral college 29, Montana 3, California 55 , DC 3, New York 29, maine 4 , Wyoming 3!!
Angalia mgawanyo wa electoral college na ukubwa wa state, population or size of economy

Federal gov ya US no tofauti na India , Canada , Brazil au kwingine kwasababu suala la Federation is not ' one size fits all'' na hivyo tunaweza kufanya copy and paste kutokea Tanzania.

Mzee Warioba na timu yake walikwenda US na kwingine, waligundua hilo ndio maana walikuja na proposal ya federation ikiwa na mambo 7 tu

Kwa taarifa yako sasa kuna mambo zaidi ya 22 ambayo mgharamiaji ni mlipa kodi wa Tanganyika! Zanzibar ZERO

Tatu, position yangu ni very clear, kwamba nchi washirika zichangie (contribute) kupitia federal tax
Kuna tatizo gani kukiwa na federal tax kutoka kwa washirika?

Kutoka rasimu ya Warioba
1. Ulinzi na Usalama_ Jeshi na vyombo vya ulinzi vitakuwa chini ya Federal government.
Bajeti itatoka katika mapato ya sasa. Kitakachokuwa tofauti ni kwamba Zanzibar italazimika kuchangia
Gharama zinaongezeka wapi?

2. Wizara ya mambo ya ndani.
Kuna IGP na Commissioner wa Zanzibar; Katika federal IGP atabaki IGP.
Kutakuwa na commissioner Zanzibar na Commissioner Tanganyika ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?

Immigration: Kuna Commissioner general wa Tanzania.
Katika Federal gov kutakuwa na Commissioner akisaidiwa na Commissioner msaidizi Zanzibar na Tanganyika
Sturucture na staff ipo tayari , kipi kinatakiwa kutoka federal ambacho unadhani kinaongezeka gharama?
Gharama zinaongezeka wapi?

Prison siyo suala la muungano hata sasa

3. Mambo ya nje: Kutakuwa na wizara moja kama sasa katika fed level
Structure na staff wapo . Gharama zinaongezeka wapi?

4. BoT itakuwa kama ilivyo ikiwa na magavana WASAIDIZI kwa pande zote ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?

5, 6 na 7
Katiba, vyama vya siasa ushuru wa mapato yasiyotokana na kodi
Kuna wizara ya Muungano . Mambo hayo 3 yanaweza kuingizwa katika wizara ya muungano ya fed
Gharama zinaongezeka wapi?

FYI mambo yote 7 yanagharamiwa na Tanganyika na kodi zake, Zanzibar haina mchango

Tukisema Washirika wacahngie tuna maana Tanganyika na Zanzibar zitoe kodi kuchangia na si kama sasa ambapo mzigo wa muungano umebebwa na Kodi za Tanganyika na hapa ndipo panakuchanganya ukijua federal gov maana yake Tanganyika ilipe kodi na kubeba zigo jingine.

Ni nafuu kwa Tanganyika, ikiwa Zanzibar itachangia 5% itapunguza mzigo kwa Tanganyika kutoka 100% hadi 95%

Fed gov. itasaidia Tanganyika kuelekeza resources zake maeneo yenye maana na tija.

Kwa mfano, ripoti ya BoT mwaka jana inaonyesha Mkoa wa Mwanza ulichangia 10 Trilioni katika pato la Taifa.
Zanzibar haionekani ilichangia nini (zero).

Hata hivyo pesa zinazoelekezwa Zanzibar ni nyingi kuliko zinazopelekwa Mwanza au eneo jingine lolote la Tanganyika.

JokaKuu Pascal Mayalla
 
Comparison ya Bunge la Marekani na Bunge la Tanzania umeileta wewe mwenyewe, lakini sasa umeshindwa kuitetea.
Hatuna sababu ya kuendelea kupoteza muda zaidi juu ya jambo hili. Nakushauri tu ujielimishe zaidi kuhusu federation zinavyofanya kazi. Obviously, bado huelewi kwamba federal institutions zinakuwa governed na federal laws na state institutions zinakuwa governed na state laws. There’s no sharing of institutions at all; federal police are there to enforce federal laws and state police are there to enforce state laws.
 
Ndugu yangu sijashindwa kutetea hoja za Bunge, nilichokueleza ni kuwa usiangalie Fed ya US ukadhani ya Tanzania itakuwa kama ile, kuna factors zaidi na nikakuonyesha kuwa katika Fed level ukiangalia ukubwa Bunge la US halafu ukubwa wa Fed gov na Judicial system ukazileta Tanzania hazifanyi kazi

Tukarudi kwenye gharama, nikakubaliana nawe kuwa Fed inapaswa kuwa na vyanzo kwa contribution ikiwa na maana tax kutoka pande zote unlike sasa ambapo JMT inagharamiwa na Tanganyika

Tukarudi kwenye gharama nikakupa mambo 7 ya Warioba hapo juu ambayo ni proposal ya Fed na kukuomba uonyeshe gharama zinaongezaje, kwakweli sidhani kama una jibu

Unakosa jibu kwasababu unaangali mfumo wa US badala ya kuangalia Tanzania. Kwamba, lazima kuwe na Fed na state kwa kila kitu. Ninakuambia hapana kwa mujibu wa Rasimu ya Warioba, sisi tuna mambo 7 mengine yanabaki kwa nchi mbili. Katika hayo 7 tayari kuna structure na staff, hakuna gharama na kama ipo onyesha.
Mfumo wa Warioba si ule wa US ambapo state zina ''replica'' ya federal, sisi tuna 7 tu
 
Bunge la JMT liwe na wabunge 45 kutoka Tanganyika halafu wingi wa legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika uwe vipi? Kuniambia legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika watakuwa 300 or so ni kukosa seriousness. Labda kama unataka tuendelee kuwa na wateule wa Rais huko mikoani na wilayani.
Kama umeshindwa kuelewa hata kitu kirahisi tu, kwamba tutakuwa na federal police (who are responsible for enforcing federal laws) ambao ni tofauti na Tanganyika state police (who are responsible for enforcing Tanganyika state laws) na Zanzibar state police (who are responsible for enforcing Zanzibar state laws), nadhani sina jinsi nyingine ya kukueleza ili uelewe. Utaelewa mbele ya safari tukiamua kwenda na hii option ya federation!
 
Bunge la JMT liwe na wabunge 45 kutoka Tanganyika halafu wingi wa legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika uwe vipi? Kuniambia legislators wa levels zote za Serikali ya Tanganyika watakuwa 300 or so ni kukosa seriousness. Labda kama unataka tuendelee kuwa na wateule wa Rais huko mikoani na wilayani.
Sijui kama unaelewa Timu ya Warioba ilichosema. As of today tuna kitu kinaitwa Union, lakini hakuna union kama ilivyokusudiwa ni ''Fedearion' iliyofichwa na kufinyangwa finyangwa.

Zanzibar ina vyombo vyake, hivi vya JMT ni vya Tanganyika. Hapa unataka level gani?
Tanganyika tayari ina structure na staff wanaohudumu kama JMT

Rasmi ya Warioba inasema Tanganyika itakuwa na Wabunge 45 na Zanzibar 30 kwa ujumla wa 75 katika Federal level inayoshughulika na mambo 7 niliyoorodhesha hapo.

Katika hayo 7 nimekuonyesha muundo hautaongeza senti tano kwasababu structure ya sasa ni sawa na ya Fed kukiwa na Zanzibar inayojitegemea na Tanganyika inayojitegemea ikiwa imebeba Tanzania

Kama umeshindwa kuelewa hata kitu kirahisi tu, kwamba tutakuwa na federal police (responsible for enforcing federal laws) ambao ni tofauti na Tanganyika state police (responsible for enforcing Tanganyika state laws) na Zanzibar state police (responsible for enforcing Zanzibar state laws), nadhani sina jinsi nyingine ya kukueleza ili uelewe. Utaelewa mbele ya safari tukiamua kwenda na hii option ya federation!
Ni hivi umekariri panapokuwa na Federal gov lazima kuwe na 'state police na Federal police etc''
Yes huo ndio muundo unaoujua wa US. Kwa bahati mbaya muundo huo haufiti mazingira ya Tanzania yenye nchi mbili na ambayo Rasimu ya Warioba imesema wazi ni mambo 7

Maana yake ni kuwa huhitaji kuwa na jeshi la Tanganyika wala Zanzibar
Kwa muundo wa jeshi na vyombo vya ulinzi leo , kuna gharama ipi imeongezeka? Huna jibu

Wizara ya Mambo ya ndani ikiwa na Polisi na Uhamiaji. Kwa US yes structure ipo Fed hadi state
Warioba anasema tutakuwa na Wizara moja ya mambo ya ndani kama leo. Gharama inaongezeka wapi?

Kwa mifano hiyo miwili nionyeshe wapi gharama zinaongezeka? Huna jibu

Tatizo lako unaangalia US kama Model, ni sahihi lakini unaacha factors nyiingine nje zinazotofautisha na kwamba sisi tuna nchi mbili tu.

Labda kuna kitu sijakuelewa nikuulize. Kwanini unadhani katika Fed system tunatakiwa tuwe na Tanganyika Police, Zanzibar Police na Tanzania Police.
 
Sijui kama unaelewa Timu ya Warioba ilichosema. As of today tuna kitu kinaitwa Union, lakini hakuna union kama ilivyokusudiwa ni ''Fedearion' iliyofichwa na kufinyangwa finyangwa.

Zanzibar ina vyombo vyake, hivi vya JMT ni vya Tanganyika. Hapa unataka level gani?
Tanganyika tayari ina structure na staff wanaohudumu kama JMT

Rasmi ya Warioba inasema Tanganyika itakuwa na Wabunge 45 na Zanzibar 30 kwa ujumla wa 75 katika Federal level inayoshughulika na mambo 7 niliyoorodhesha hapo.

Katika hayo 7 nimekuonyesha muundo hautaongeza senti tano kwasababu structure ya sasa ni sawa na ya Fed kukiwa na Zanzibar inayojitegemea na Tanganyika inayojitegemea ikiwa imebeba Tanzania

Ni hivi umekariri panapokuwa na Federal gov lazima kuwe na 'state police na Federal police etc''
Yes huo ndio muundo unaoujua wa US. Kwa bahati mbaya muundo huo haufiti mazingira ya Tanzania yenye nchi mbili na ambayo Rasimu ya Warioba imesema wazi ni mambo 7

Maana yake ni kuwa huhitaji kuwa na jeshi la Tanganyika wala Zanzibar
Kwa muundo wa jeshi na vyombo vya ulinzi leo , kuna gharama ipi imeongezeka? Huna jibu

Wizara ya Mambo ya ndani ikiwa na Polisi na Uhamiaji. Kwa US yes structure ipo Fed hadi state
Warioba anasema tutakuwa na Wizara moja ya mambo ya ndani kama leo. Gharama inaongezeka wapi?

Kwa mifano hiyo miwili nionyeshe wapi gharama zinaongezeka? Huna jibu

Tatizo lako unaangalia US kama Model, ni sahihi lakini unaacha factors nyiingine nje zinazotofautisha na kwamba sisi tuna nchi mbili tu.

Labda kuna kitu sijakuelewa nikuulize. Kwanini unadhani katika Fed system tunatakiwa tuwe na Tanganyika Police, Zanzibar Police na Tanzania Police.

You can’t handle this topic; just move on to other topics. Unachozungumzia sio federation, ni mambo fulani ya ajabu ajabu tu. Kwenye federation, unlike ilivyo sasa, kuna ugatuzi mkubwa wa madaraka. Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano zitasimama kivyake na kuendesha shughuli zake kwa Katiba na sheria zake na kwa kutumia institutions zake. Kama institutions zilizopo zitaendelea kuwa shared kama ilivyo sasa, basi hapo hakuna federation. Hata sijui hicho kitu kinaitwaje!
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Post kama hizi huwa sizichukulii kwa wepesi hata siku moja. Kuna watu huwa wanaonyesha na Mungu. Kuna jamaa alipost 2009kuwa 2015 nchi itaongozwa kidikteta
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.

Tusaidie na hizo dalili, nasi tuweze kuzifuatilia na kuweza kupaza sauti zetu.
 
Tunataka sana Tanganyika! ikirudi mtaelewa

Wewe ni kijana mdogo sana, zama za Zanzibar kusema tunavunja muungano zimepita miaka mingi
Siku hizi tunasema hata mkitaka kesho ondokeni hatuna cha kupoteza
Wakati ukifika utaelewa
Unasema wewe tu wenye mfumo hawataki, au mpaka nikutumie clip ya lukuvi alivyosema Zanzbar hamuwez kuwaachia wawe huru?
 
You can’t handle this topic; just move on to other topics. Unachozungumzia sio federation, ni mambo fulani ya ajabu ajabu tu. Kwenye federation, unlike ilivyo sasa, kuna ugatuzi mkubwa wa madaraka. Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Muungano zitasimama kivyake na kuendesha shughuli zake kwa Katiba na sheria zake na kwa kutumia institutions zake. Kama institutions zilizopo zitaendelea kuwa shared kama ilivyo sasa, basi hapo hakuna federation. Hata sijui hicho kitu kinaitwaje!
Mbona hujibu hoja?

umekaririuundo wa federation jaribu kuelewa ni nzuri zaidi na itakusaidia

Sisi si sawa na Nigeria, US au India. Tunazungumzia nchi mbili tu ambazo population, na economy zao ni tofauti sana

Mbona structure ya muungano kuna Tanganyika na Zanzibar na Tanzania iliyojificha na tuna vyombo kama jeshi bila kuwa na ugatuzi. Umekariri kuwa federation lazima ionekane kama ya Canada au Australia.

Taasisi za sasa tayari zinatengeneza federation kwasababu zipo za Zanzibar na zile za Tanzania ni za Tanganyika
Kuna mambo 7 tu yanayotakiwa kuwa ya pamoja katika federation. Hayo ni pamoja na Polisi

Nina kuuliza kwanini unadhani tunatakiwa kuwa na Tanganyika Polisi, Zanzibar Polisi na Tanzania Polisi?
Huna jibu kwasababu umekariri

Ndio maana nasema kila mara watu wanaosema kuna gharama wanapotosha na wana hoja za kipuuzi
Unapokuwa na hoja halafu huwezi kuitetea kwa mantiki it defies logic
 
Kwanza, kuna jambo umeligusia kuhusu elimu ya msingi, ni kweli nilipata hiyo elimu. Kuna nyakati unapaswa kujadiliana na watu wote ukilenga kuwasaidia, sisi wa shule ya msingi tunahitaji sana maono na mchango wako.
Usighadhabike tuvumilie na endelea kutusaidia

Pili, kuna vitu viwili unaviweka kapu moja pengine kwa makusudi ili kupotosha kwa urahisi au kutojua

Ukiiangalia Marekani na muundo wake wa Feds ni tofauti na maeneo mengine.
Usiangalie US kirahisi, angalia idadi ya states, population na ' unconventional '' matter or situation.

Jiulize kwanini Ohio ina electoral college 29, Montana 3, California 55 , DC 3, New York 29, maine 4 , Wyoming 3!!
Angalia mgawanyo wa electoral college na ukubwa wa state, population or size of economy

Federal gov ya US no tofauti na India , Canada , Brazil au kwingine kwasababu suala la Federation is not ' one size fits all'' na hivyo tunaweza kufanya copy and paste kutokea Tanzania.

Mzee Warioba na timu yake walikwenda US na kwingine, waligundua hilo ndio maana walikuja na proposal ya federation ikiwa na mambo 7 tu

Kwa taarifa yako sasa kuna mambo zaidi ya 22 ambayo mgharamiaji ni mlipa kodi wa Tanganyika! Zanzibar ZERO

Tatu, position yangu ni very clear, kwamba nchi washirika zichangie (contribute) kupitia federal tax
Kuna tatizo gani kukiwa na federal tax kutoka kwa washirika?

Kutoka rasimu ya Warioba
1. Ulinzi na Usalama_ Jeshi na vyombo vya ulinzi vitakuwa chini ya Federal government.
Bajeti itatoka katika mapato ya sasa. Kitakachokuwa tofauti ni kwamba Zanzibar italazimika kuchangia
Gharama zinaongezeka wapi?

2. Wizara ya mambo ya ndani.
Kuna IGP na Commissioner wa Zanzibar; Katika federal IGP atabaki IGP.
Kutakuwa na commissioner Zanzibar na Commissioner Tanganyika ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?

Immigration: Kuna Commissioner general wa Tanzania.
Katika Federal gov kutakuwa na Commissioner akisaidiwa na Commissioner msaidizi Zanzibar na Tanganyika
Sturucture na staff ipo tayari , kipi kinatakiwa kutoka federal ambacho unadhani kinaongezeka gharama?
Gharama zinaongezeka wapi?

Prison siyo suala la muungano hata sasa

3. Mambo ya nje: Kutakuwa na wizara moja kama sasa katika fed level
Structure na staff wapo . Gharama zinaongezeka wapi?

4. BoT itakuwa kama ilivyo ikiwa na magavana WASAIDIZI kwa pande zote ambao hadi sasa wapo
Gharama zinaongezeka wapi?

5, 6 na 7
Katiba, vyama vya siasa ushuru wa mapato yasiyotokana na kodi
Kuna wizara ya Muungano . Mambo hayo 3 yanaweza kuingizwa katika wizara ya muungano ya fed
Gharama zinaongezeka wapi?

FYI mambo yote 7 yanagharamiwa na Tanganyika na kodi zake, Zanzibar haina mchango

Tukisema Washirika wacahngie tuna maana Tanganyika na Zanzibar zitoe kodi kuchangia na si kama sasa ambapo mzigo wa muungano umebebwa na Kodi za Tanganyika na hapa ndipo panakuchanganya ukijua federal gov maana yake Tanganyika ilipe kodi na kubeba zigo jingine.

Ni nafuu kwa Tanganyika, ikiwa Zanzibar itachangia 5% itapunguza mzigo kwa Tanganyika kutoka 100% hadi 95%

Fed gov. itasaidia Tanganyika kuelekeza resources zake maeneo yenye maana na tija.

Kwa mfano, ripoti ya BoT mwaka jana inaonyesha Mkoa wa Mwanza ulichangia 10 Trilioni katika pato la Taifa.
Zanzibar haionekani ilichangia nini (zero).

Hata hivyo pesa zinazoelekezwa Zanzibar ni nyingi kuliko zinazopelekwa Mwanza au eneo jingine lolote la Tanganyika.

JokaKuu Pascal Mayalla
Wabunge wetu wangekuwa na nondo kama zenu mnazozishusha hapa,tungekuwa mbali kimaendeleo
 
Kuna kila dalili Zanzibar ikajitenga na kuwa nchi kamili kwa maslahi ya Viongozi wetu wa awamu hii.

Ni zaidi ya hatari endapo Zanzibar itaruhusiwa kuwa na mamlaka kamili kwa usalama wa Tanganyika!

Na hapa nisipepese macho NAONA KILA DALILI RAIS WETU WA SASA ANATAKA ZANZIBAR IWE NCHI HURU.

Kwenu Tiss.
Uzee kwako ni mzigo kwetu. Sasa hapo hatari iko wapi acha kuwa na mawazo mgando. We unapakana na congo, burundi na rwanda, unatishiwa nini na znz
 
Mbona hujibu hoja?

umekaririuundo wa federation jaribu kuelewa ni nzuri zaidi na itakusaidia

Sisi si sawa na Nigeria, US au India. Tunazungumzia nchi mbili tu ambazo population, na economy zao ni tofauti sana

Mbona structure ya muungano kuna Tanganyika na Zanzibar na Tanzania iliyojificha na tuna vyombo kama jeshi bila kuwa na ugatuzi. Umekariri kuwa federation lazima ionekane kama ya Canada au Australia.

Taasisi za sasa tayari zinatengeneza federation kwasababu zipo za Zanzibar na zile za Tanzania ni za Tanganyika
Kuna mambo 7 tu yanayotakiwa kuwa ya pamoja katika federation. Hayo ni pamoja na Polisi

Nina kuuliza kwanini unadhani tunatakiwa kuwa na Tanganyika Polisi, Zanzibar Polisi na Tanzania Polisi?
Huna jibu kwasababu umekariri

Ndio maana nasema kila mara watu wanaosema kuna gharama wanapotosha na wana hoja za kipuuzi
Unapokuwa na hoja halafu huwezi kuitetea kwa mantiki it defies logic

Sio swala la kukariri. Wewe nimeshakuambia, hii topic iko beyond your understanding. Honestly, hata sijui ugumu wa kuelewa hiki kitu rahisi uko wapi.
Nimeshasema numerous times kwamba, kwenye federation, kuna levels tofauti za law enforcement. Enforcers wa federal laws ni vyombo vya federal na enforcers wa state laws ni vyombo vya state. Prosecution ya watuhumiwa wa federal crimes inafanyika kwenye federal courts na prosecution ya watuhumiwa wa state crimes inafanyika kwenye state courts. Wanaokuwa convicted of federal crimes wanafungwa kwenye federal prisons na wanaokuwa convicted of state crimes wanafungwa kwenye state prisons. Uwepo na uendeshwaji wa hizi institutions unasimamiwa na sets mbili tofauti za sheria. Is this rocket science?
 
Mama anatakiwa aisambaratishe ccm ili TANU yetu irudi na Wakojani wabaki na HIZBU na AFROSHIRAZI mtifuano uanze.
 
ndio maana mlikataa chanjo Samia kasema chanjo lazima na hamna kitu
Ndiyo maana jiwe aliua na kuteka watu lkn hakufanywa kitu.

Ndiyo maana jiwe alivuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na ule mkuu lkn hakufanywa kitu.

Ndiyo maana jiwe alituma watu wampige risasi lisu lkn hakufanywa kitu.

Ama hakika rais wa nchi hii ni zaidi ya Mungu
 
Sio swala la kukariri. Wewe nimeshakuambia, hii topic iko beyond your understanding. Honestly, hata sijui ugumu wa kuelewa hiki kitu rahisi uko wapi.
May be! but unaposhindwa kujibu hoja kwa mantiki ! inafikirisha.

Kwa mtazamo wako ni kitu rahisi sana kwasababu ni copy and paste na ndiyo maana nakueleza jaribu kuangalia mazingira ya suala zima h kwanza. Kuna tofauti ya Federation ya US, Canada, Nigeria, India hata kama ukiangalia kwa haraka unaona inafanana. Nilifundishwa darsa la sita ''attention to detail''

Mzee Warioba, Mzee Salim Ahmed, na Maprofesa wa katiba walioma namna fedeal system inafanya kazi
Walichokiona ni tofauti na mazingira tuliyo nayo.

Mfumo wa Nigeria una states 26 unawezaje kufananisha na Tanzania yenye Tanganyika kubwa na Zanzibar?

Nyerere alipofanya Union waliangalia mazingira ya reservations kwa Wazanzibar wakawapa semi autonomous.

Katiba ya Tanganyika ikafanywa ya JMT 1964 kukiwa na mambo 22 ambayo yaliongezeka na kufikia 36.

Mwaka 2010 katiba ya Zanzibar ikatoa mamlaka ya kuanzisha taasisi na sehemu kubwa ''KUJITOA' katika muungano isipokuwa pale tu Zanzibar inaponufaika.

Hili limeleta tatizo na ndipo timu ya Warioba ikasema lazima kuwe na serikali 3 ili ile ya Tanganyika iwe na shughuli zake na iwepo ndogo ya JMT itakayokuwa na mambo 7

Federation ya Warioba haiku copy ile ya US unayoijua au Australia kama una kaufahamu.
Hii imesema mambo 7 tu
Nimeshasema numerous times kwamba, kwenye federation, kuna levels tofauti za law enforcement. Enforcers wa federal laws ni vyombo vya federal na enforcers wa state laws ni vyombo vya state. Prosecution ya watuhumiwa wa federal crimes inafanyika kwenye federal courts na prosecution ya watuhumiwa wa state crimes inafanyika kwenye state courts. Wanaokuwa convicted of federal crimes wanafungwa kwenye federal prisons na wanaokuwa convicted of state crimes wanafungwa kwenye state prisons. Uwepo na uendeshwaji wa hizi institutions unasimamiwa na sets mbili tofauti za sheria. Is this rocket science?
Huku ndiko kukariri kwasababu unasoma federal ya US basi unataka ifanye kazi kwa nchi mbili ambazo moja ni ndogo sana. Tazama mbali zaidi ya urefu wa pua.

Kwa hoja yako hapo juu ,hebu fafanua haya

1. Kwanini unadhani lazima tuwe na Tanganyika Police, Zanzibar Police na Tanzania Police
Note kwasasa tuna Tanzania Police, kipi unadhani kinahitaji ili kuwe na police katika nchi mbili

Kwa taarifa pia, Zanzibar wana vikosi maalum nje ya vikosi vya ulinzi na usalama. Hivyo vinagharamiwa na SMZ japo kwa kujiaminisha ingawa indirectly ni gharama za Mtanganyika. Je kwa kuwa na vikosi maalumu kumeathiri vipi uwepo wa JWT na Police?

2. Kwanini unadhani tunahitaji JWTZ Tanganyika, JWTZ Zanzibar na JWT Tanzania?
Kukiwa na JWTZ moja kunaathiri vipi mfumo wa sasa na ule ujao?
Je Marekani kuna majeshi ya States yanayo operate na ku overlap shughuli za jeshi la federal?

3. Kuwa na kamishana wa Uhamiaji Tanganyika na kule Zanzibar halafu kuwa na Kanishana jenerali kunaongeza vipi gharama za uendeshaji?
Kwanini unadhani tunahitaji Uhamiaji Tanganyika, Uhamiaji Zanzibar na Uhamiaji Tanzani?

Kumbuka rasimu ya Warioba imeweka taasisi za washirika kwa kila nchi kitu ambacho mtu anayefikiri sawa sawa hawezi kubisha.

Taasisi zote za JMT zina mbadala Zanzibar kwa mujibu wa katika ya Zanzibar ya 2010.
Hivyo hizi za JMT ni za Tanganyika , ingawa zinakuwa abused na Wazanzibar kwa kuzitumia kwa mafao bila huduma au manufaa yoyote kwa Tanganyika. Yaani ni kama kapu la bibi . Wana abuse sana

Abuse imefikia mahali wanaleta bili za umeme za majumbani mwao zilipwe na walipa kodi wa Tanganyika

Kwa mantiki hiyo structure yetu ya federal ipo tayari inahitaji 'minor tweaking' katika maeneo machache sana

Structure ya Federal inahusu mambo 7 ambayo ni 3 tu yenye gharama kubwa 4 tayari yana wizara sasa hivi.

Kwa masingi huo Bunge la federal lina wajumbe 75 wanaojadili bascially mambo 3 na 4 ya ziada, hatuhitaji wabunge 400 kwasababu tu Tanganyika ni kubwa kama unavyodhani.

Umekaririri tu muundo wa federal lazima uwe abcd you don't try to give your brain a room to breath, to contemplate or digest information. Ndiyo maana huwezi kujibu hoja kwasababu ya acquired myopic

Hebu jibu hoja moja kwa nukta kwanza
Unaposhindwa kujibu hoja unavutika katika ''loose talk '' in lieu of cogent reasoning

Sisi wa std 7 hatuwaelewi, kwanini una ninashauri ninunue combine harvester kama settler wa Marekani wakati nina ekari 75 za shamba? Vipi kama nikitumia plough?
Natamani aliyenzisha computer angefuta button za copy and paste! I wish
 
Back
Top Bottom