wapo waliokua wanavaa uniform za secondary na kukaa vituoni unaweza kudhani ni wanafunzi kumbe ni machangudoa, now upepo umegeuka kwa wanavyuo, nenda mabibo hostel, udom, saut, wapo wengi hasa kipindi cha boom delay, sikatai wapo wanachuo baadhi wanafanya hyo biashara but they are very...