Hebu tweleze bwana kwani mwenzetu kwa sasa huwa unatembelea kiungo gani? Kila lenye mwanzo lina mwisho wake ZILIKUWEPO TAWALA KANDAMIZI ZENYE NGUVU KIUCHUMI KAMA MUBARAK NA GHADAFI LAKINI LEO HAWAPO SEUZE CCM AMBAO MTAJI WAO NI UJINGA NA WOGA!
Uwezekano ni mkubwa sana.Ilikuwaje akamrudisha yule padri jimboni kwake aliyekuwa amefukuzwa kipindi cha mkapa.Padri huyo alijenga shule,kituo cha polisi na kupeleka umeme jimboni kwa Lukuvi lakini pia eneo lile ni sehemu ya hifadhi ya mbuga ya Ruaha na kuna tembo wengi.Nikiwa mtu niliyeishi...
Ndugu zangu,hebu tumieni busara kidogo.Mnashabikia majangili wanaoganga njaa kuuawa wakati vigogo serikalini wanaosababisha wananchi tuishi katika lindi la umaskini wanaendelea tu kutamba mtaani.Kama ni kushabikia basi ilikuwa ni vifo vya majangili yanayoiba yakiwa kwenye ofisi za viyoyozi na...
Mmesahau jambo moja kuu ya kwamba watanzania tuna umoja na mshikamano hivyo haiwezekani jambo litokee kwa mtanzania mmoja Watanzania wengine wasijue.Ni tofauti na nchi nyingine ambako kila mtu yupo kivyake na wala hawezi hata kukukaribisha kwake.Mfano usitegemee ukawa na rafiki Mganda halafu...
Ala mi nilijua ameondoka kwa hoja ya msingi KUMBE SHIDA YAKE NI NJAA.Nampa pole sana huyu kipofu wa kifikra HAJUI YA KUWA CCM MTAJI WAO NI SHIDA ZA WATU!
Ama kweli ukipanda mawe usitarajie kuvuna karanga.Kuwa kiongozi kwa tiketi ya CCM ni sawa na kukata tiketi ya kwenda jehanamu maana huenda ukapenda kutenda haki lakini chama cha magamba hawatakupa nafasi.R.I.P
Chadema ni chama makini.Suala la kushirikiana na chama chenye itikadi tofauti siyo tatizo,dunia hii ya sasa huwezi ukaishi kama kisiwa.Au umesahau kwamba Nyerere alikuwa ni rafiki wa Soviet Union,Cuba na North Korea ambazo zilikuwa zinafuata itikadi ya UJAMAA na wakati huo huo akiwa ni rafiki wa...
Kutokuwataja mapema ni kosa kubwa mno.Maana ameshawapa nafasi ya kumzima.Watangulizi wake kama Chifupa,Wangwe n.k walifanya kosa hilo hilo la kutaarifu kwamba wataweka ukweli wa mambo bayana wakazimwa mapema kabla ya kutimiza azma yao.Hivi bado viongozi wetu hawajajifunza tu.
kurudi nchini kwa sababu ya janga ni jambo ambalo Maraisi wote wenye busara duniani hufanya wala siyo kitu special sana cha kutufanya tumsifie Kikwete.
Ishu ni kwamba haya matukio yamepaliliwa na sera za udini za chama tawala.
Wasallam!Kama mwanajukwaa nitumie nafasi hii kutoa maoni yangu kwa kutumia elimu ya sayansi ya jamiii niliyoipata pale Mlimani pamoja na exprience yangu ya maisha juu ya kifo cha mpendwa na mwanaharakati mwenzetu Daud Mwangosi. Kwanza nianze kwa kutoa salamu zangu za rambirambi kwa familia yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.