Unajua kuna watu kazi yao kukosoa tu,rais ana majuku mazito ya kuliongoza taifa hili,ndio maana kuna amani,hivi mtanapotoa lawama rais kafanya hiki mara kile mnapata nini,unajua mtu yeyote asiye nashukrani ukifuatilia utaona ana matatizo lukuki,nakushukuru uliyeleta hii thread hapa javini,na kumpongeza raisi wetu.
Wewe unayeona rais hafai ondoka nenda kaishi nchi nyingine utakapo mpata rais anayefaa zaidi ya huyu tuliyenaye.
Watanzania lazima tubadilike tufanye kazi tuache kutoa lama kila kukicha,hii ni dalili ya uvivu wa kufikiri.
Kikwete ni rais bora,huo ndio ukweli wa mambo.