Recent content by silence noise

  1. silence noise

    Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Hata mimi nimejiuliza sijapata jibu, labda baada ya risasi kurudi chini ikamwangukia, nahisi hapo itakuwa si kupigwa.
  2. silence noise

    Mkuu wa Mkoa wa Singida awaomba WanaSingida kumchangia Tundu Lissu

    Shhh, tatatibu acha hasira. Tuwashauri pia kuhusu jina la akaunti mimi si mwanasiasa lakini wangetumia jina la akaunti lisilo na mwelekeo wa chama ingefaa zaidi. lissu ni mtu muhimu kwa taifa ukiachilia mbali haki ya kuishi kama raia wengine.
  3. silence noise

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Miss Natafuta, ulikua unatafuta nini? Umeyapata umeanza kulalamika makavu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. silence noise

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Jitahidi uwe na mmoja tu, tatizo linaanzia hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. silence noise

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Atakuwa nesi anatuona anapotudunga sindano lakini hazingatii maadili ya kazi anatoa siri za wagonjwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. silence noise

    Mafuta mazuri ya wanaume

    Samahani Dada yetu wanaume tuna makalio na si kalio nafikiri tavauti ni kubwa sana hapo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. silence noise

    MREJESHO: shukrani kwa ushauri wenu, nimejua tatizo lililonisumbua kwa miaka mingi

    Mi nilitumia bima lakini ct scan nakumbuka kama si 120000 basi 150000 Sent using Jamii Forums mobile app
  8. silence noise

    MREJESHO: shukrani kwa ushauri wenu, nimejua tatizo lililonisumbua kwa miaka mingi

    Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini nilikwenda Muhimbili badala ya private baada ya kusikia wameboresha huduma. Nilifanyiwa ct scan ya...
  9. silence noise

    Inaonekana mke wa roma mkatoliki ni mke bora

    Umenena vema, wewe si mwendawazimu, wanakusingizia. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. silence noise

    Siku hizi nikinywa tu kidogo, chakaliii mbaya kabisa

    Ulichopost kinathibitisha madhara unayopata, ungesubiri ipungue kichwani uandike vzuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. silence noise

    Natafuta movie mpya yenye kwichikwichi nyingi na 'mahaba niteketeze'

    Mhh atakuwa anahitaji xxx huyu, hamjamwelewa tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. silence noise

    Tatua tatizo la uume mdogo

    Wanaokejeli usiwajali al ustadh, utakuta wako pembeni na hartiti, si unajua mtu hataki kuonekana ana kibamia. Wewe ona tu watu wanavyotiririka ndio ujue umewagusa. Sent from my Halotel H8401 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom