MREJESHO: shukrani kwa ushauri wenu, nimejua tatizo lililonisumbua kwa miaka mingi

silence noise

Member
Apr 23, 2017
54
29
Habari wana jf doctor. Ninayo furaha kubwa sana kuwajulisha na kuwashukuru wote kwa wawazo yenu nilipoleta tatizo langu la kichwa. Wengi mlinishauri kuwahi hospitalini, nilifanya hivyo lakini nilikwenda Muhimbili badala ya private baada ya kusikia wameboresha huduma. Nilifanyiwa ct scan ya kichwa na shingo na tatizo kuonekana shingoni, wanaita muscle spasm( misuli kukaza)
. nilipewa dawa na taratibu zingine za matibabu zinaendelea- mazoezi misuli ya shingo.
4dd7dc670d08b3a99864d8663001807b.jpg
56d220eb91c83ebf5d1d7c765d233523.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom