Recent content by Silangeimahoo

  1. S

    Mama Lishe na Bodaboda Sumu haionjwi tumuogope Lowassa kama Ukoma

    Mleta mada jitahidi kuwa na uhakika na thread unayotuma hata kwa kusikiliza vyombo vya Habari vya kuaminika kwani inaelekea umekurupuka tu ukaandika na kurusha hewani Bila kufanya utafiti wa hiyo Habari. Big up unajifunza kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi.
  2. S

    Kwanini: CHADEMA, UKAWA na watanzania wanamuunga mkono Lowassa

    Kiongozi bora anaonekana kwa matendo yake.
  3. S

    CHADEMA lazima ijiandae kukabiliana na mambo yafuatayo...

    Tusubiri Tarehe ishirini na tano mwezi wa kumi
  4. S

    Mbinu chafu za ushindi wa CCM

    Kweli kazi ipo Sana
  5. S

    Edward Lowassa special thread

    Mtu kuwa na ushahidi ndio uthibitisho tosha katika kumuweka mtu hatiani sa hamna uthibitisho tufanye nini?
  6. S

    CCM Serikali bora duniani

    Mhhhh hapa inatisha ila wapo viongozi makini CCM wakapewa nchi wataleta maendeleo makubwa tu.
  7. S

    Lowassa akiwa Rais, Bunge likatawaliwa na wapinzani na wakaibua kashfa ya Richmond; itakuwaje?

    Acha uongo na uzishi umefika jimboni kwake au unaropoka tu.
  8. S

    Lowassa akiwa Rais, Bunge likatawaliwa na wapinzani na wakaibua kashfa ya Richmond; itakuwaje?

    Hebu acha uongo na kufuata mkumbo. Umeshafika au unaropoka tu.
  9. S

    Mabilioni anayomwaga Lowassa Dodoma, TAKUKURU mko wapi?

    jamani tujitahidi kuacha kupakaziana matope si vizur. huwez jua nani atakuwa kiongozi mkuu wa nchi hii. hebu fikiria akiwa lowasa hiyo aibu utaipeleka wapi?
  10. S

    Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

    Hayo mengi ni yapo kusema tu unataja hutaji. Acha kipenzi cha watu apite
  11. S

    Kung'oa CCM itakuwa kazi kwa kweli

    Ukiwa unaropoka jitahidi kuwa na uhakika kama fahari yako nikuonekana kila siku humu jitahidi kutafutia vithibitisho unayaongelea usikurupuke tu. Huwezi kusema walimu Bila kuwa na ushahidi. Mtu kuchagua mtu na Chama akipendacho ni pendezo lake ni c kazi yake au utaalamu wake.
  12. S

    Edward Lowassa kuwalipia nauli, malazi, chakula na posho wajumbe wa NEC na MM wa CCM

    Acha taarifa za kichochezi hivi mtu anaweza kuwahonga watu wote hao cha msingi hapo ni Chama chenyewe kiangalie jinsia ya kumpata kiongozi kipenzi cha wananchi.
  13. S

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Usiwe unakurupuka tu we una uhakika gani kama lowasa kaajiri watu wengi hivyo kwa ajili ya kampeni. Mtuhumu mtu ukiwa na uhakika
  14. S

    Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

    Ndio maana ukiwa unamtuhumu mwenzako kuwa ni mwizi au fisadi jicheki na wewe mwenyewe kama ni mwema. Usiwe unaropoka tu.
  15. S

    Maajabu ya Bernard Membe

    Jamani bado ule muendelezo wa ahadi zisizotekelezeka zinaendelea. Mfano nitaweka round abouts kupunguzwa fole kweliiiiiii!
Back
Top Bottom