Kwanini: CHADEMA, UKAWA na watanzania wanamuunga mkono Lowassa

Kwanini: CHADEMA, UKAWA na watanzania wanamuunga mkono Lowassa

msali

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
24
Reaction score
23
Baada ya lowasa kujiunga na CHADEMA na ukawa wafuasi na wanachama wa chama dola CCM a.k.a MAREHEMU WATALAJIWA wamekuwa wakitapatapa kwa kusema lowasa ni mloo wa madaraka na amekuja kuiua CHADEMA na kujiua kisiasa .

Hayo maneno si ya kweli na ni ya woga na yanawatia aibu,zifahamu sababu zinazo wafanya CHADEMA, UKAWA na watanzania wampokee na kumkubali Edward Lowassa.

1. Anaushawishi mkubwa ndani ya CCM na Tanzania kwa ujmla.

2. Anajua uimara na uzaifu wa CCM.

3. Anajua mbinu zote za wizi wanazotumia CCM kushinda chaguzi mbalimbali.

4. Ni silaa pekee inayoweza kuiangamiza CCM.

5. Anaujua mchezo mchafu wa siasa za Tanzania.

MWISHO ZINGATIA:
Jambazi aliye jisalimisha kwa makamanda wa polisi na kuwa raia mwema basi jeshi lenye akili umtumia huyo kuliangamiza kundi kubwa la majambazi sugu na kulitokomeza.

HAKUNA ALIYE MSAFI NDANI YA CHAMA CHA CCM NA SERIKALI YAKE.

KAULI MBIU ;- mulize jirani yako UNACHO nini KICHINJIO gani CHAKUPIGIA KURA.
 
Kweli mwaka huu ni wa mabadiliko ANGALIZO ukawa waje na ilani nzuri inayotekelezeka na kampeni ziwe za hatari.
 
Baada ya lowasa kujiunga na chadema na ukawa wafuasi na wanachama wa chama dola ccm a.k.a MAREHEMU WATALAJIWA wamekuwa wakitapatapa kwa kusema lowasa ni mloo wa madaraka na amekuja kuiua chadema na kujiua kisiasa ,hayo maneno si ya kweli na ni ya woga na yanawatia aibu,zifahamu sababu zinazo wafanya chadema,ukawa na watanzania wampokee na kumkubali edward lowasa
1.anaushawishi mkubwa ndani ya ccm na tanzania kwa ujmla.
2.anajua uimara na uzaifu wa ccm
3.anajua mbinu zote za wizi wanazotumia ccm kushinda chaguzi mbalimbali
4.Ni silaa pekee inayoweza kuiangamiza ccm
5.anaujua mchezo mchafu wa siasa za tanzania
MWISHO ZINGATIA
jambazi aliye jisalimisha kwa makamanda wa polisi na kuwa raia mwema basi jeshi lenye akili umtumia huyo kuliangamiza kundi kubwa la majambazi sugu na kulitokomeza.
AKUNA ALIYE MSAFI NDANI YA CHAMA CHA CCM NA SERIKALI YAKE

KAULI MBIU ;-mulize jirani yako UNACHO nini KICHINJIO gani CHAKUPIGIA KURA

Kwa hiyo jambazi Lowassa amejisalimisha mahakama ya CHADEMA?
 
✔✔ umenena mkuu ,lowasa alikaa madarakani miaka miwili kama waziri mkuu ila alijenga shule za kata nchi nzima ambazo Leo watoto wetu wanasoma na zimetupa unafuu sana, sio hili jambazi (makofili) anayetegemea Kuna kuyalinda ya mapaka wezi (CCM) kama aliyemtangulia (Baba riz)!! Pinda amekaa madarakani miaka 8 ila hats shule moja hamna! mahabara zenyewe tunahamrishwa tuchangie na watoto wetu wakikaa chini mashuleni wagonjwa kulala chini huku vigogo wa ccm wakiishi vizuri na familia zao na kuiba na kugawana mabilioni ya watanzania!! Kweli kushabikia na kuipenda CCM Ni ujinga na upumbavu uliotukuka! Yaani aliyetuloga watanzania sijui Ni nani?? Ccm viongozi wake Ni wezi, wauaji na wapindisha sheria ila bado tuishabikie!! Mzazi wangu augue alazwe muhimbili chini wewe kiongozi wa ccm imeficha hela uswisi unasubiria muda wa kampeni uje unionge nikupe kura yangu?? Watoto wa vigogo wa ccm wanasoma Australia wetu ni Tanzania tena wanakaa chini!! RiP ccm (chama cha majizi) yaani nakuchukia kuliko chochote duniani. Sasa viongozi wengi WA ccm wanatuhonga hela zetu walizotuibia ili tuwachague tena waendelee kutunyony tena! Hivi kwanini hizo hela wasingezipeleka ktk mahospitalini,mashuleni na hata kusaidia maskini kipindi wakiwa madarakani kama wanatupenda kweli?? Ila wanajua Tanzania wananchi Ni mandondocha tutawachagua tu waendelee kutunyonya! ila mwaka juu mmebugi mameni! Na wewe mkapa uliyemkata lowasa kwa kuhofia mgodi wa kiwira uliojimilikisha kama hii nchi ya Baba yako ujiandae,madini gesi n.k mjiandae kupitiwa upya ili tunufaike binadamu wote wa tz na si tumbili wachache wa ccm
 
Hakika unafki ni kitu kibaya sana....yaani leo hii shule za kata mlizokuwa mnaziponda kuwa zinaangusha elimu kwa kuwa zipo chini ya kiwango leo mnaziona nzuri kwa kuwa mjenzi wake mpo nae....wonder shall never ends
Mimi ni mwana UKAWA lakini kura yangu simpi Lowasa kwa kuwa nafsi itanisuta...
 
Hujalazimishwa mkuu wewe peleka tu CCM, ila Mimi bora nife kuliko nichague chama cha majambazi (CCM)
 
Hujalazimishwa mkuu wewe peleka tu CCM, ila Mimi bora nife kuliko nichague chama cha majambazi (CCM)

Sina maana kuwa nitapigia CCM...La hasha....bali napata ukakasi kumpigia kura mtu kama lowasa....
 
Back
Top Bottom