Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

Ufisadi na Rushwa Tanzania, Lowassa anaonewa

wananchi tumeshajua kwamba wanamuonea sasa sisi tunampigia mtu kurs sio chama. ccm mjipange vizuri huu mwaka lowassa kawashika patamu

no lowassa no ccm
 
Kakwambia nani anaonewa? Kama ni yeye kasema sawa maana mwizi hakubali kuwa ni mwizi sembuse yeye ni kiongozi
 
narudia tena kuelezea jambo hili kwa mara ya mwisho.

Kama ilivo alama ya msalaba kwa wakristo. Kama ilivo alama ya mwezi kwa waislamu. Ndivo ilivo alama ya enl kwa ufisadi.

Na kwakuwa evlotionary circles za ufisadi zimefikia mwisho tathmini mwenyewe future ya enl evolutionary.

Hata kama ccm ingemtaka na kumfuga vipi. Sio swala la ccm ni swala la kitabia nchi zaidi. Enl has been exclusively rejected out of systems evolutionary.

Nitangaze rasmi kufunga mjadala wa enl na hatma .. Ya uongozi wa tz. Ccm ilimpenda sana lakini "evolution processes" zilimpenda zaidi.

acha kuwasemea watu
 
Mkuu usiwaongezee dozi watu,kwa sasa wanaumwa ugonjwa unaoitwa lowasa fever utasababisha ukawa wapoteze maisha maana huo ni ugonjwa hatari kuelekea oktoba
 
Narudia tena kuelezea jambo hili kwa mara ya mwisho.

Kama ilivo alama ya msalaba kwa Wakristo. Kama ilivo alama ya Mwezi kwa Waislamu. Ndivo ilivo alama ya ENL kwa Ufisadi.

Na kwakuwa Evlotionary Circles za Ufisadi zimefikia mwisho Tathmini mwenyewe future ya ENL evolutionary.

Hata kama CCM ingemtaka na kumfuga vipi. Sio swala la CCM ni swala la Kitabia Nchi Zaidi. ENL has been exclusively rejected out of systems evolutionary.

Nitangaze rasmi kufunga mjadala wa ENL na hatma .. ya Uongozi wa Tz. CCM ilimpenda sana lakini "Evolution Processes" zilimpenda zaidi.

nakuunga mkono
 
Lowasa akiwa board member wa General Tyre kaifanyaje....

Akiwa waziri wa mifugo akifanyaje mashamba ya serikali na ya mifugo...

Lowassa ni fisadi tuuuu....
 
Malinga unatisha. Big up. Huo ndio ukweli 100% watanzania walio biased wasioupenda kuusikia masikioni mwao japo mioyoni mwao wanaukubali.
 
MALIGANYA MALIMBE

DOWANIISS, Alikuwa Lowasa bonge la mwizi Tanzania, huyu jamaa kumsafisha mpakeni rangi nyeupe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mada yako umejipa na majibu kabisa..umesema malecela alihusika sa malecela alipata huo urais
Si ndo maana tumekubaliana el na wenzake wapigwe panga tu kama walivo pigwa panga wengine
 
Hivi ni Lowassa pekee ndiye fisadi ndani ya CCM?
NIENDELEE AU?

Umeanza kwa kusema Hivi ni Lowassa 'pekee' ndiye fisadi ndani ya CCM, Hii inaonyesha kuwa unakubali/umekubali yeye ni fisadi ila hayuko mwenyewe! Of which, i agree with you

Sasa kama ndivyo anaonewaje?

Tuanzie hapo ndipo uendelee.
 
Ndio maana ukiwa unamtuhumu mwenzako kuwa ni mwizi au fisadi jicheki na wewe mwenyewe kama ni mwema. Usiwe unaropoka tu.
 
huyu malimbe huyu sjui kalipwa ngapi leo.hiv mlikuwa wap kusema haya yote haya tangu 2008 alipojiuzuru???
 
Hata mm ndugu yangu, inaniskitisha sana kuona wabongo wenzangu tuna ng'ang'ana na lowasa tu nila hata kujua kuwa ayo yote yanatokana na mfumo mbovu wa serikali iliyopo madarakan. Maana lowasa kwa sasa hayupo kwenye system lakin mbona ufisad ndio unazid kushamir siku hadi siku, tuachane na iman za kijinga lowasa co fisad bali mfumo mzima wa serikali iliyopo madarakan ndio umeoza
 
MALIGANYA MALIMBE

Hausiki katika hayo. Orodhesha anayohusika nayo.kama hausiki na ufisadi au rushwa yoyote au kujipatia isivyohalali utajiri na mali kwa kupitia nafasi yake kichama au kiserikali kana hapa halafu tukufumulie madudu yake.
 
Last edited by a moderator:
Hata mm ndugu yangu, inaniskitisha sana kuona wabongo wenzangu tuna ng'ang'ana na lowasa tu nila hata kujua kuwa ayo yote yanatokana na mfumo mbovu wa serikali iliyopo madarakan. Maana lowasa kwa sasa hayupo kwenye system lakin mbona ufisad ndio unazid kushamir siku hadi siku, tuachane na iman za kijinga lowasa co fisad bali mfumo mzima wa serikali iliyopo madarakan ndio umeoza

Ndugu yanu tupiga vita mafisadi wote bila kujali itikadi, Lowasa si tu ni fisadi bali pia walioko nyuma yake na wanopigana kufa na kupona kuhakikisha anaingia Ikulu ni mafisadi na wapigaji waliokubuhu

Je wataka Nchi iongozwe na wapigajoi???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom