Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

Marando: Tuna mengi ya Lowassa lakini kwa sasa tunakaa kimya

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na mwanasheria nguli nchini Tanzania, Mabere Nyaucho Marando, amesema UKAWA wana mambo mengi sana ya kuzunguza kuhusu Lowassa lkn kwa sasa wameamua kukaa kimya kwa kuwa wamekaa kimya kimkakati.

Pili amesema wao wameamua kukaa kimya kuhusu Lowassa kwa kuwa Nape, Makonda na Makokongoro Nyerere kwa sasa wao wanafanya kazi ambazo zilitakiwa kufanya na UKAWA.
 
mbona alishawai kumtajakuwa ni fisadi waziwazi tena na matusi juu,tene bora wanaomtaja wanamuonea aibu huyo atimtaja ni hatari
 
El kama una masikio na usikie,kama hauna washauri wako wakusaidi
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Jamani watu wana GUTS yani unakuwa na JEURI ya kuwazia HATA Kuwa RAIS wa Nchi huo nao moyo mzito sana.
 
Strategic point of view

Ukawa Mwaka wao ni huu, mpitisheni EL muone kazi
 
Haya haya Team Mizimu plus team viungo vya Albinoz ... Itoshe kusema; Mafuriko hayazuiliki kwa mikono ....
 
Makongoro ndio candidate pekee atakayesumbua UKAWA.
MIMI NI UKAWA MWANZO MWISHO
 
Mjumbe wa kamati kuu ya chadema na mwanasheria guli nchini tanzania mabere nyaucho marandu ,amesema ukawa wana mambo mengi sana ya kuzunguza kuhusu lowasa lkn kwa sasa wameamua kukaa kimya kwa kuwa wamekaa kimya kimkakati.

Pili amesema wao wameamua kukaa kimya kuhusu lowasa kwa kuwa nape,po makonda,na makokongora nyerere kwa sasa wao wanafanya kazi ambazo zilitakiwa kufanya na ukawa

Hakuna jipya ambalo halijasikika.... Musiba unahangaika sana
 
Hayo mengi anayoyajua nadhani hayatuhusu sana swala kubwa ni kuhakikisha kuwa LOWASSA anawatumikia wananchi, huo uzushi tushauzoeea
 
CCM TOP 5: 2015 "{1. Lowasa 2. Mwandosya 3. Membe}" 4. Migiro 5. Ramadhani , FOR ANY MEANS UKAWA JIANDAENI NA HAO.
 
Back
Top Bottom