Recent content by sikumpya

  1. sikumpya

    Dereva wa STL 9898 Landcruiser Uwe Muungwana

    Inawezekana unachuki binafsi na hiyo dereva,kuna je mwiliwako ni automatic kwamba unaweza ku u tune unavyotaka?hujaona watu wakidondoka,kujisaidia bila kupenda?je amebanwa eneo hisika angefanyaje?
  2. sikumpya

    Ujasusi - Umoja namba 97

    Hongera sana mkuu,ila nahisi umeikata sehemu.
  3. sikumpya

    Yusuph Makamba akosoa soko kupewa jina la Mbunge Dodoma, asema bora yangeitwa Majina ya akina Mzee Nnauye

    Naamini hujamsikiliza vizuri,maana hata yeye amekiri kua na barabara inayoitwa makamba,hivyo ameomba rais amfikirie mzee mnauye,nawasilisha.
  4. sikumpya

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwa Taifa Desemba 8, 2021 kuelekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Nimeangalia kwa makini sana utv naamini hotuba haikua live na imeeditiwa maana kuna mikato ya ghafla na mikao totauti.
  5. sikumpya

    Utata, upotoshaji na ukweli unaouma kuhusu 'The Da Vinci code'

    Kumbuka hata kurani imekiri kurudi kwake na kuhukumu ulimwengu kwa haki yaani Yesu unaemuita mzinzi,basi weka akiba ya maneno.utayatumia huko mbele ya safari,ubarikiwe.
  6. sikumpya

    Waliomteka Mo Dewji walikuwa 'Well Organised, well informed , financially stable and highly committed'…

    Inaonekana upo nyuma ya wakati,zipo kamera zinazoona usiku bila taa
  7. sikumpya

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Nipo chumvini hapa nala papa
  8. sikumpya

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Mwena na semwena tidughane kwa mwena,chezea bonde wewe!!![emoji3][emoji3]
  9. sikumpya

    Riwaya:Mtuhumiwa

    Natamani ningeisoma kesho, maana kiu tena.
  10. sikumpya

    Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

    Kiu kali fanya mambo Mkuu[emoji43]
  11. sikumpya

    Serikali mnaijua bei ya kununua teknolojia ya kutengeneza madawa?

    Hata technology ya drip tuiogope?maajabu utakua umeshikiwa akili
  12. sikumpya

    Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

    Ka mbwai mbwai tu,ukiitia mbogha nami naitia ughai!
Back
Top Bottom