Itakuwa njia ya mtera hiyo kwani gari nyingi kwa sasa zinapita huko baada ya kuwekwa lami,na kwa muda huo hiyo ndio njia ya mkato sana kwani toka Iringa mpka dodoma ni masaa tatu na nusu tu...
Nawatakia kila la kheri...
Habari za Jumapili wapendwa wana JF.
Afrika Kusini imewatimua maafisa watatu wa ubalozi wa Rwanda nchini humo kutokana na kinachosadikika kuhusika kwao na jaribio la kuvamia nyumba ya Gen. Faustin Nyamwasa mkosoaji wa serikali ya Kagame anayeishi uhamishoni nchini Afrika Kusini.
Rwanda imejibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.