Ajali Mbaya sana hapa KIA

Ajali Mbaya sana hapa KIA

BONGOLALA:
Walikuambia leseni mpya itapunguza ajali au ulikuwa usemi wa kuihalalisha hiyo leseni? Huu ni wizi mtupu, serekali ya wizi wizi lazima itafute njia tu ya kuwanyonya raia wake. Huu ni unyonyaji tu wa raia wake.
Hakuna kipindi ajali zimetokea ka kipindi hiki, sababu watakuambia ni maendeleo na wingi wa magari. Agrrrrr staki kuwaza itakuwaje after 3 years from now. Kwa mtindo huu wa kutafutiana vyeo kwa kujuana bila kujali ujuzi. Umewahi kujiuliza nini maana ya wiki ya nenda kwa usalama? Ina faida gani kama si kujikusanyia fedha za bure bure tu?
Mpaka Tanzania iweze kumpata kiongozi mwenye mapenzi na raia wake tutakuwa tumekwenda wengi kabla ya wakati wetu.
Sure: ukitaka lesseni class ya magri ya private(A,B,D,E….)hapa mkoani andaa kama laki 3 huna haja ya kuleta vyeti

Vehicle: Laki moja na nusu, Yule anayekupeleka kwa vehicleelfu 50, TRA elfu 50 na Jamhuri elfu 40
 
Acha kuendekeza rushwa Dar leseni ni sh arobaini tu na unaichikua kesho yake
 
Namba za simu za polisi hazipokelewi????
Walitoa za nn sasa....
 
Sure: ukitaka lesseni class ya magri ya private(A,B,D,E….)hapa mkoani andaa kama laki 3 huna haja ya kuleta vyeti

Vehicle: Laki moja na nusu, Yule anayekupeleka kwa vehicleelfu 50, TRA elfu 50 na Jamhuri elfu 40

Entim;
Kwetu wanasema ukimwona Chifu anakula hata kama anakula nyamafu nyamaza kwani ukisema waweza ishia kuuawa tu. Hilo ni shamba la wazee, wamebuni namna ya "Na weye kula hapoo". Kuna mtiririko mrefu tu.
Kama baba mwenye kaya anawajua Wauza sembe, majangili, wezi wa EPA na wahongaji mahiri wa chama chake, lakini hao woote wanapeta mitaani kwa magari ya tinted, unategemea huyo trafic ale wapi? Unategemea RTO ale wapi? Kwani yeye ndiye anaendesha hayo magari? Hata ukiamua kufuatilia mlolongo huo mreefu wa kusoma na kuipata hiyo leseni, nakuhakikishia hutakaa uipate kama hutatoa kitu. Ni uongo na ndoto kudhani kuwa ati kwa kwenda kwako chuo utapata leseni.
Huyo Vehicle Inspector mwenyewe hazijui hizo alama za barabarani wala sheria. Angelijua angesimamisha magari bondeni au kwenye miinuko? Tumwombe Mungu siku ipite ufike nyumbani na viungo vyako vyote bila kupoteza kimoja kwa ajali za kipuuzi. Mtoto wa miaka 12 ati ana leseni umeona wapi? Ni Tz tuuu.
 
BONGOLALA:
Walikuambia leseni mpya itapunguza ajali au ulikuwa usemi wa kuihalalisha hiyo leseni? Huu ni wizi mtupu, serekali ya wizi wizi lazima itafute njia tu ya kuwanyonya raia wake. Huu ni unyonyaji tu wa raia wake.
Hakuna kipindi ajali zimetokea ka kipindi hiki, sababu watakuambia ni maendeleo na wingi wa magari. Agrrrrr staki kuwaza itakuwaje after 3 years from now. Kwa mtindo huu wa kutafutiana vyeo kwa kujuana bila kujali ujuzi. Umewahi kujiuliza nini maana ya wiki ya nenda kwa usalama? Ina faida gani kama si kujikusanyia fedha za bure bure tu?
Mpaka Tanzania iweze kumpata kiongozi mwenye mapenzi na raia wake tutakuwa tumekwenda wengi kabla ya wakati wetu.

Tshs 40000 x 1000000 zimechukuliwa na wa malaysia waliokua na tenda ya kutengeneza leseni mpya.Jee polisi wana database ya madereva wa hovyo?
 
Back
Top Bottom