Recent content by sikongefdc

  1. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Jux azua balaa mitandaoni, ni baada ya picha ya matangazo ya nguo za ndani kusambaa

    Jamaa anasukuma benz wewe unapiga makelele humu na kwenye akaunti yako hata elfu kumi haifiki, tozo kila siku zinazidi kutawanyishwa umeshindwa kufanya lolote. Dunia ilivyo kubwa hii unahangaika na mtu mmoja anatangaza biashara yake, eboo
  2. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Watanzania Ondoeni Shaka kuhusu Tozo , Kila Ubaya Utalipwa

    Kinacho nishangaza ni pale watendewa wanapo gawana pande yani mmoja anashangilia mwingine analalamika. Hovyo kabisa
  3. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Nachukia sana kuitwa kolo

    Kolowizard fC
  4. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zambia karudi kwao usiku wa Jana kutoka Congo, ana majukumu mengi ya kitaifa

    Na hili nalo mkalitizame.
  5. sikongefdc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    ccm kaeni mkao wa kula, kuna siku mtafurushwa kama wezi sijui mtaficha wapi sura zenu kenge nyinyi.
  6. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Kwa pamoja tunaweza: Ratiba ya mechi za kususia za simba hii hapa,wacheze na majukwaa matupu

    Susieni tu hizo game nyingine ila game yetu na nyinyi mkisusa kudadeki tunawafata popote pale mlipo tunawakamata na kuwaingiza uwanjani kwa lazima, ole wenu msuse kuingia siku hiyo ndio mtatueleza kwanini mlichagua team dhaifu siku ya tamasha lenu. Eboo
  7. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Salman Rushdie ameshatolewa kwenye ventilator na sasa anapumua mwenyewe

    Serikali iko wapi? hiki kitabu cha huyu jamaa kitafsiriwe kwa lugha ya kiswahili alafu muwagawie wanafunzi mashuleni bure, au nakosea ndugu zangu?
  8. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Sasa huyu bwana Allah inakuaje anatetewa na binadamu? Ni dhaifu sana huyu bwana mjanja mjanja
  9. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Kila la Kheri Wanajangwani Dhidi ya TFF Pale Lupaso

    Walozi leo kazi wanayo
  10. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mmoja Mkenya aishtaki Serikali ya Israeli kwa kifo cha Yesu

    Safi sana, angekuja na hapa kwetu akayashitaki ma ccm.
  11. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna wachambuzi

    Kuna redio nilikua nasikiliza jamaa mmoja akawauliza wenzake ' hivi top scorer wa assist ni nani msimu ulio pita pale simba?'
  12. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, Mama yetu Samia Suluhu Hassan, Wakumbuke Walimu hasa wa Shule za Msingi katika kipindi chako cha Urais

    Eti 'mama yetu' huoni hata aibu? nani kakwambia ni mama yako huyo?
  13. sikongefdc

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni 'scam', watu wawili hawawezi kuwa mwili mmoja kamwe

    Usaliti kwenye mahusiano ndio unaleta yote haya, sikuhizi hakuna kitu naogopa kama kuchezea moyo wa toto la mtu. Ila yule kenge alie nipiga tukio miaka ile sitamsamehe mpaka nilipize kisasi, fvck you A
  14. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka maisha yangu ya uyatima; Uyatima ni noma sana ndugu zangu

    Hakuna watu nilikua nawachukia utotoni kama wafanya biashara wa madini, walimuua mshua kwenye biashara zao huko sijui walishindwana nini. Baada ya dingi kufa kila kitu kilipinduka, ila uyatima unatesa sana ndugu zangu usikie tu kwenye vyombo vya habari. Mimi hapa duniani ndugu zangu ni sita tu...
  15. sikongefdc

    JamiiForums Tanzania Yanga: Haji Manara hajatendewa haki, tunamuunga mkono kudai haki vyombo vya juu zaidi

    Mtu mweusi ni silaha tosha kabisa.
Back
Top Bottom