Jamaa wamechangia hapo juu.
Pande nneza Dunia ni :
Kiya - Mashariki
Mweli - Magharibi
Dakama - Kusini
Sukuma - Kaskazini
Mikoa ya Wanyamwezi na Wasukuma ni Mwanza/Geita, Shinyanga na Tabora.
Ukiwa Tabora, Wanyamwezi wa Mwanza tunawaita WaKaskazini au WaSukuma
Ukiwa Mwanza, Wanyamwezi wa...
Sijawahi kuona JUHA akipigiwa Makofi na Basha la West. Yaani huyo WANAMTEGEMEA anapiga makofi na kumsubiri JUHA na baadaye wanaingiza ndani ya gari wawili tu bila kukaguliwa na kuondoka, Leo MSIKILIZA CNN anamwita JUHA.
Anyway, wanasema Don't argue with...
The price of a 15kg LPG (Liquefied Petroleum Gas) cylinder in Cuba is not straightforward because it depends heavily on who is buying it and through which channel.
Here’s a detailed breakdown of the costs as of mid-2024.
1. The Official, Subsidized Price (For Cubans on the Ration Book)
·...
Hivi alikuwepo Mtu anaitwa Lukulasi?
Nafikiri walimwita Don King wa Afrika.
Ila Didier au Didi Kinuani kweli kaimbwa sana. Kwa UTAJIRI wake wa Almasi alikuwa mdhamini Mkubwa wa Wanamuziki ila alichemsha kuja kumchukua Mke wa JB Mpiana, Mrembo Hamida Shatur.
Baada ya hapo, BCBG Wenge...
Sikujua Kama Papito Mbala ni jina La Mtu. Alitoa Hela ndefu sana kwa wimbo huo wa JB Mpiana...
https://youtu.be/Lxy2hl3h7bI?si=7xUgDV-rY_1oios9
Charles Kabuya????
Huyu aliimbwa sana na Madilu Multi System.... Zet Mavuzi.
https://youtu.be/Sq_jbFPxaU8?si=pgwEJRAvlSWbAMcH
Frida Mushi, Christian Lema ( mwimbaji wa Papa Wemba).
Marie-Louise Likuse aka Mère Malou.
Polepole ni Mcheza kamali au Gambler.
Kenny Rogers alishatoa wosia kuhusu Gambler kwenye maisha yake anatakiwa aishi au achezeje.....
Labda yeye ndivyo kapanga Karata zake ..
https://youtu.be/MdgoQyY33Go?si=FnB4Z-7gUon2PziC
https://x.com/Megatron_ron?t=jn0nxZjeXSB9VhDeaEG1aQ&s=09
Kama unaweza kutumia Mtandao wa X Basi pitia hapo. Kama upo Tanzania na hauna VPN basi pole yako....
Kwenye Twitter kuna wengi wanaweka hizo habari.
Uyahudi unarithi kwa Mama.
Ndiyo maana tunasema wengi ni Feki.
Halle Berry ni Myahudi kweli ila Lenny Kravitz hapana kwani Baba ndiyo Myahudi.
Hao wasiojua Historia ya Musk siyo wa kulinganiaha na mimi. Wengine tumeanza kumjua tangu ni Kabury huko SA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.