Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

Jana Agosti 29, 2025, Humphrey Polepole kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii alidai kwamba mtungi wa gesi ya kilo 15 nchini Cuba unauzwa kwa shilingi 2,000 za Kitanzania.

Kauli hii imeibua mjadala, lakini inapochunguzwa kwa makini kwa kutumia takwimu na taarifa rasmi, inabainika kwamba ni madai hayo hayana ukweli wowote na wengine kusema kwamba, pengine amesema vile kwa ajili ya mtaji wake wa kisiasa. Kabla ya kujua hali ya halisi ya mtungi wa gesi wa Kg 15, kwanza tutambue hali ya sasa kwenye gesi ya kupikia nchini Cuba.

Hali ilivyo Cuba

Kwa mujibu wa taarifa ya Havana Times (Prieto, 2025), Cuba inaendelea kukumbwa na uhaba mkubwa wa gesi ya kupikia. Tangu mwishoni mwa mwaka 2024, miji na mikoa kadhaa ikiwemo Matanzas, Camagüey, na Pinar del Río ilisita kuuza gesi “hadi taarifa itakapotolewa,” kutokana na kutokuwepo kwa akiba ya bidhaa hiyo.

Wakazi wengi wanalazimika kutumia kuni na mkaa kama mbadala, hali inayorudisha nyuma maisha ya kila siku na kusababisha madhara ya kiafya kutokana na moshi na vumbi. Wengine wanalazimika kupanga foleni ndefu, mara nyingine kwa siku nzima, bila uhakika wa kupata hata silinda moja.

Kwa hali ilivyo, gesi haiwezi kuuzwa chini ya USD 1, yaani TZS 2000, hali ya gesi ya kupikia nchini Cuba ni mbaya.

Bei halisi na soko​

Kinyume na madai kwamba gesi inauzwa kwa TZS 2,000 (takribani USD 0.75), hali halisi ni kwamba gesi nchini Cuba imegeuka bidhaa ya kifahari.
  • Sokoni, bei ya gesi Kg 15 ni kati ya 35,000–40,000 peso za Cuba, sawa na takribani USD 100.
  • Hii ni mara nane ya mshahara wa mwezi mzima wa raia wa kawaida wa Cuba (ambao ni wastani wa 4,648 peso).
Kwa maneno mengine, gesi si bidhaa rahisi inayopatikana kirahisi, bali ni bidhaa adimu na ghali mno, inayopatikana kupitia njia zisizo rasmi.

Kwanini gesi haiwezi kuwa TZS 2000​

Kwanini Gesi Haiwezi Kuwa TZS 2,000 Nchini Cuba​

  1. Gharama za uagizaji na uhaba wa fedha za kigeni
    Cuba haina vyanzo vya ndani vya gesi ya kupikia (LPG). Gesi yote huagizwa kutoka nje, jambo linalohitaji malipo ya fedha za kigeni. Kwa kuwa nchi hiyo ina matatizo makubwa kwenye sekta ya utalii na vikwazo vya kiuchumi (sanctions) kutoka kwa mataifa ya magharibi hivyo, kuwa na akiba finyu ya dola. Haiwezekani gesi iingizwe na kuuzwa kwa bei ya chini ya dola moja.
  2. Mfumuko wa bei na sarafu ya ndani
    Uchumi wa Cuba unakabiliwa na mfumuko mkubwa wa bei. Kiasi cha sarafu yao (peso) inapoteza thamani kila mwaka, na bidhaa zinazotegemea uagizaji zinakuwa ghali zaidi. Kwa mfano, mshahara wa wastani wa raia wa Cuba ni 4,648 peso (sawa na karibu USD 13). Kwa hali hii, haiwezekani bidhaa muhimu na adimu kama gesi ibaki kwa bei ya sawa na robo ya dola ya Marekani.
  3. Uhalisia wa soko la magendo
    Ripoti zinaonyesha gesi ikipatikana sokoni kwa njia ya magendo, bei yake ni 35,000–40,000 peso (takribani USD 100). Hii ndiyo bei ambayo wananchi hulipa kwa uhalisia, si bei ya nyaraka za serikali. Ikiwa bidhaa moja sokoni inauzwa mara 100 zaidi ya bei inayodaiwa na Polepole, basi dhahiri bei ya TZS 2,000 haiwezi kuwa kweli.
  4. Kanuni ya scarcity (Uhaba)
    Kitaalamu, uchumi hufundisha kwamba kadiri bidhaa inavyopungua sokoni, ndivyo bei yake inavyoongezeka. Katika hali ambapo gesi inapatikana kwa foleni na muda mwingine haipatikani, hivyo gesi haiwezi kuwa TZS 2000, lazima itakuwa juu zaidi.
  5. Ulinganisho na uchumi wa kawaida
    Hata katika nchi zilizo na ruzuku kubwa (mfano India au baadhi ya mataifa ya Kiarabu), gesi ya kupikia hufikia angalau USD 8–15 kwa mtungi kwa kg 15. Kwa hiyo, kudai kwamba nchi ya Cuba yenye changamoto za kiuchumi na upungufu mkubwa wa fedha, bei ni chini ya USD 1, haiwezekani.
Polepole anahitaji zaidi tiba ya Ugonjwa wa akili, wale wanaona kama tunamuonea polepole ni mgonjwa wa akili, majuzi niliiomba serekali yetu, isihangaike nae, tafadhalini serekali yetu isihangaike na mtu mgonjwa wa akili, hata atakapojitokeza huyu ni - - - - chiz fresh-----watoto wa mjini wa nafahamu maana ya Chizi fresh. (nusu zimo nusu hamnazo)
 
Hongera kwa kujaribu kudadavua. Mie hata sikuhangaika na kufanya utafiti kujua ukweli wa hoja ya Pole pole. Kwangu mimi huyu mtu ni mzushi na mwenye agenda ya kuleta taharuki na kupandikiza chuki.
Anajua wazi kuwa taarifa hizi za uongo madhara yake na akiunganisha na hahsimu wake RA ndo watu wazidi kumchukia kabisa na kumuona adui.
Hivi CUBA ambayo haizalishi gesi ndio iuze mtungi wa kg 20 kwa 2,000 ya Tanzania?
Weka data, kiongozi. "Maneno matupu havunji mfupa."
 
Hujielewi wewe. Tangu lini research ikafqnywa kwenye chatgtp?
Akili zinakutosha kweli?
Ulienda shule gani wewe?
loh mshamba gani wewe? unajua kizungu cha kufanyia search kwenye chatgpt? Unajua tafauti baina ya search na research? Mimi nimesema search sijasema research, haya ni maneno mawili tafauti.

Jamani jifunzeni kiingereza musiaibike angalau kwa maneno madogo madogo.
 
The price of a 15kg LPG (Liquefied Petroleum Gas) cylinder in Cuba is not straightforward because it depends heavily on who is buying it and through which channel.

Here’s a detailed breakdown of the costs as of mid-2024.

1. The Official, Subsidized Price (For Cubans on the Ration Book)

· Price: Approximately 25 Cuban Pesos (CUP).
· Who pays this? Cuban citizens who receive it via the libreta (ration book) system.
· Reality Check: This price is almost symbolic (about 20-25 US cents at the informal exchange rate). However, the supply through this official channel is extremely limited and unreliable. Most Cuban households receive a cylinder on this system very infrequently, sometimes only once or twice a year. It is not enough to cover cooking needs.

2. The "Normal" or Informal Market Price (What Most Cubans Actually Pay)

This is the real price for the vast majority of Cubans who need to buy a cylinder to meet their monthly needs. They purchase them from the informal (black) market or state-owned stores that sell at unsubsidized prices.

· Price Range: 1,800 to 2,500 Cuban Pesos (CUP).
· Exchange Rate Context: This is equivalent to roughly $7.50 to $10.50 USD (using the informal exchange rate of ~240 CUP to 1 USD).
· Why this price? This reflects the actual scarcity and the cost of acquiring and distributing the gas outside the heavily subsidized system. For the average Cuban whose monthly state salary might be between 4,000-8,000 CUP, this is a significant and expensive necessity.

3. Price for Tourists & Foreign Visitors

If you are a tourist staying in a casa particular (private homestay) or a rental, the cost is different. The host will typically include the cost of utilities (water, electricity, gas) in the rental price. If you need to replace a cylinder yourself, you would pay a price much closer to the informal market rate, but often in convertible currency.

· Expected Cost: $10 - $15 USD for a 15kg cylinder, if you can find it for sale directly.

---

Important Context and Challenges:

· Severe Shortages: Cuba has been experiencing a severe energy crisis. LPG, along with gasoline, diesel, and electricity, is often in very short supply. It is common for families to wait for weeks or even months to get a cylinder, regardless of the price.
· Dual Economy: The massive difference between the official price (25 CUP) and the real market price (2,000+ CUP) is a classic feature of Cuba's dual economy.
· Alternatives: Due to the scarcity of LPG, many Cubans are forced to rely on electric hotplates (which strain the unstable electrical grid) or even wood-fired stoves for cooking, especially in rural areas.

In conclusion: While the official subsidized price is almost free, the actual, practical cost of a 15kg LPG cylinder in Cuba that a family would pay to cook for a month is between 1,800 - 2,500 CUP (~$7.50 - $10.50 USD). Acquiring one is often a much bigger challenge than paying for it.

AI ya Mchina, DeepSeek imetoa maelezo hayo juu ☝🏿☝🏿☝🏿☝🏿
 
Back
Top Bottom