Msaada wenu wakuu tafadharini
Mimi ni kijana umri miaka 19 nasumbuliwa na tatizo la kifua na vidonda vya tumbo nilipima mara ya kwanza nikapewa dawa zikawa hazijanisaidia nikapima tena wapi?
Dawa nimemeza sana haipiti wiki nameza dawa leo usiku cjalala kifua na tumbo vinauma sana kwa pamoja...
Argentina wanakipiga saa nne kamili za usiku kwa saa za africa mashariki mchezo ambao unasubiliwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mpira mchezo ambao unatafuta mshindi"" atakaecheza fainali dhidi ya Spain je ni upi utabili wako"" nani ambae ana nafasi kubwa ya kutinga fainali?
TOA MAONI YAKO:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.