Recent content by sijaelewa

  1. sijaelewa

    Naomba connection kupata suppliers kutoka Dubai

    Huwa natumia DHL express au FedEx ila wao wamebezi sana kwenye ndege.
  2. sijaelewa

    Vibweka nyumba za kupanga, unakumbuka nini?

    Nikiwa mdogo nikiishi na wazazi wangu kwenye nyumba ya kupanga nikiwa bafuni bahati mbaya nilibembea kwenye bomba ya kuogea inayotoa maji ya mvua (kama tunazijua) si ikavunjika. Nikafunga mlango kwa ndani kisha nikapanda na kutokea juu ya ukuta. Nyumba ilikuwa na wapangaji sita. Acha waanze...
  3. sijaelewa

    Unawekeza Tsh 30m unapata kodi 300k kwa mwezi. Mwenzio kawekeza Tsh 2m anapata hiyo hiyo

    Uzi huu ni mzuri, ila bado unaniweka njia panda kwa sababu, ninakiwanja bunju, pia nafanya biashara ndogondgo, kuna mkopo nategemea kuuchukua, nawaza nikijenga nyumba haitaisha mpaka mkopo uishe ndo nimalizie, pia nawaza kuingia kwenye biashara itakuwaje katika zama hizi?
  4. sijaelewa

    Msaada kuhusu Silent Ocean (simba wa bahari)

    Wana JF. Najua naweza pata msaada hapa. Naomba kwa mwenye uelewa wa namna hawa Silent Ocean wanavyofanya kazi. Je, wanaweza kunisafirishia mzigo kutoka China bila mimi kwenda huko? Asante wote mtakao nisaidia katika hili.
  5. sijaelewa

    Huu mwendo, bado kuna utaratibu wa ving'amuzi vya mabasi?

    Habari wanaJF nipo safarini ndani ya basi fulani ya Njombe, Mmmmhh huo mwendo, unanipa mashaka kama bado kuna utaratibu wa ving'amuzi maana huwa vinalia kila dereva akifika spidi 80 kwa saa. Kwenye hili basi hakuna hata kubeep, mara kutaka kumpita basi mwenzake mara break za ghafla. Nisaidieni...
  6. sijaelewa

    Mazinde High School, huu ni uonevu kwa Wazazi

    HUU NI UPOTOSHAJI MKUBWA. Kinachojadiliwa ni meseji ya whatsap ambayo yeyote anaweza kuandika. Nimeipata mahali hii taarifa ya kutoka vyanzo vya ndani ya shule yenyewe. Isome kwa umakini utaelewa ni nini kinaendelea. HUU NI UPOTOSHAJI MKUBWA.
  7. sijaelewa

    Bodaboda na wake za watu

    Daa leo napita barabara hivi, nakuta mke wa jirani yangu kasimama kwenye vimiti miti na bodaboda ninayemfahamu, kuniona bodaboda akajidai anaondoka, nilipopita kugeuka nakuta karudi na walivyosimama hatari na boxer imepaki pembeni. Ukweri ni hatari....
  8. sijaelewa

    Je, hili lina ukweli kuhusu maisha ya watoto wa kwanza wa kiume katika familia?

    Uzi huu umenigusa sana, naona kuna fact hasa kwangu, mi ni mzaliwa wa kwanza, ding anafanya kazi iliyonisomesha mimi ila baada ya mimi kupata kakazi hahangaiki na madogo hata kwa senti. Wawili nimesha wafanikisha wanakazi zao, wawili wa mwisho nimewasomesha shule binafsi kidato cha kwanza mpaka...
  9. sijaelewa

    Msaada: Anayejua bei kwa Tsh ya hii toy anisaidie

    nimeona online tanzania sijui.
  10. sijaelewa

    Msaada: Anayejua bei kwa Tsh ya hii toy anisaidie

    Tafadhali kwa anayejua bei kwa tsh ya mashine hii anisaidie, inaitwa 'educational laptop learning toy.
  11. sijaelewa

    Msaada: Nahitaji msambazaji wa ream papers

    Nimechunguza zaidi nineona alibaba wana kitu kinaitwa trade centre, nimetulia kidogo ili nijiridhishe kwanza na payment methods,wale wa kwanza nimeachana nao, niangalia wengine.
  12. sijaelewa

    Msaada: Nahitaji msambazaji wa ream papers

    Amenitumia usajili wao, wamesajiliwa 2016, paypal nina acount tayari, ila naona hii ya mauzo/manunuzi ya alibaba itanifaa zaidi kwa kuwa ni wao wenyewe. Ngoja niwaulize kusuhu paypal. Ahsante.
Back
Top Bottom