Pamoja na msaidizi wake, wote wanapwaya ktk hizo nafasi, hii wizara inahitaji viongozi wenye busara na waliokomaa. Sijui mteule kwnn haoni hili mbona ipo wazi tu
Huyu jamaa yeye ndio kigeugeu namba moja, hatofautishi agenda za dini na siasa, afu hiyo chama iliyompa nafasi ya siasa haina hata namna ya kumthibiti, may be thy like the way he is rolling the ball.
Kuna kitu watu hawajui, serikali ikishalipa mishahara ya watumishi kwenye hz hospital ndo basi, pesa zingine za uendeshaji hazipelekwi, kwahy ili huduma isife lazima wateja walipie hz gharama.
Good points, but no. 2 sikubaliani nayo, rais achague watu wenye tija katika kujenga nchi, hata kama hayupo comfortable nao, otherwise ndio kujaza watu wa ndio mama.
Kuteua viongozi toka tabaka zote za jamii ni muhimu ili isionekane kuwa uongozi unamilikiwa na tabaka fulani ktk jamii, cha muhimu ni kuangalia uwezo na busara na watu wenye hz sifa wapo ktk matabaka yote ya jamii. So far kwa hz teuzi naona kuna mchanganyiko mzuri toka tabaka za jamii, but...
Mhe. Rais tafadhali anza na huyu dc afukuzwe kazi mara moja, ni mpuuzi kabisa. Pia hao askari wa wanyama pori ambao akili zao zimejaa upori upori tu wafikishwe mahakamani kwa kosa la mauaji.
Sent from my CAG-L22 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.