That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,188
- 3,599
Matiti tax.
Urudiwe!Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata kiasi kikubwa hivyo tutapata maendeleo kwa wakati
Kodi si dhambi.
Fanyeni haya kwa kunikumbuka mimi.
Wenye navyo viwili tunatoa mara mbili.Ukiona unakichwa , kodi ihusike kwa maendeleo ya nchi
Safar hy ikitokea unahama upewa kes ya kuhujumu uchumi a nyumba itaifishwe kwa maendeleo ya nchiHiyo kodi ya kichwa nakumbuka kuna watu walikuwa wanahama makazi yao kwa ajili ya kukwepa.
Yaani nyumbani anaonekana saa tatu usiku na ikifika saa kumi na moja alfajiri anachomoka.
Kimoja kitatoa nusu ya kodi kingine nzima kwa maendeleo ya nchiWenye navyo viwili tunatoa mara mbili.
Kazi iendeleeKimoja kitatoa nusu ya kodi kingine nzima kwa maendeleo ya nchi
Walete hata za kwny mita za maji, hizi Kodi na tozo ndo zitatufanya akili zitukae sawa
Kazi iendelee