Recent content by SI unit

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usingizi ni uleule; Msouth /bati za rangi kwani kitu gani, shauri yenu

    ..hata maiti huwekwa kwa jeneza la mamilioni wakati udongo utamtafuna kama alozikwa na sanda ya buku ten.. ..hizo ni preferences tu za duniani kulingana na uwezo wa mtu na hadhi (status) ..so kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake na kile anachoona kinamfurahisha whether directly or indirectly..
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usingizi ni uleule; Msouth /bati za rangi kwani kitu gani, shauri yenu

    Hongera mzee baba kwa kupaua mjengo (kama sio picha kwa hisani ya GOOGLE), ila punguza mipasho kama ya kina Khadija Kopa et al
  3. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    ..nicheki pm tuyajenge
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umekosea, kutomkemea vikali Kangi Lugola aliyekufananisha na Yesu

    Hivi ni nani alisema anaweza kuongoza Malaika 🤔🤔
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya dalili za mwanamke mwenye kukupenda kama rafiki na mwenye hisia na wewe za kimapenzi

    Kabisa mkuu...nimejenga na kukuza lugha yetu adhimu ya kiswahili
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya dalili za mwanamke mwenye kukupenda kama rafiki na mwenye hisia na wewe za kimapenzi

    ...enzi nikiwa mvulana nilikuwa naandika nyuzi kama hizi, isipokuwa nilikuwa sichanganyi "R" na "L"
  7. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Mzigo bado upo?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuliooa ni vizuri tukawajua ma-Ex wa wenza wetu. Hawa watu wanatuchapia sana wake zetu

    Wengine wana album nzima ya Ma-X...ukifwatilia utapata tabu sana ..mwanamke anaweza asichepuke na X vile vile na akaanzisha mahusiano mapya baada yako.. ..muhimu timiza majukumu kama mume hayo mengine ni out of your control
  9. S

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Bajaji mpya iliyosajiliwa inauzwa million 6

    Kama 5M inalipa tuongee biz'ness
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hili la kupata mimba pamoja na kufanya juhudi hizi kuizuia limekaaje?

    May be hizo P2 zako zilikuwa fake au zilishaExpire...who knows...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Best way to make love

    Tanzania ya viwanda. Kiwanda kipya hiki.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Majambazi wakamatwa Sinza wakijiandaa kufanya uporaji

    Hii clip niliiona tangu jana tarehe 3/9/2019 sasa sijajua kiini macho chake cha kugeuka tukio la tarehe 4/9/2019
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mabinti walioweka sauti kwenye nyimbo za Nyambizi na Sharifa za Duly Sykes ni wakina nani?

    "......wimbo una sauti...." na sio "...nyimbo ina sauti....." kama ulivyoandika hapo. Hebu acheni kuharibu lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    +255766471367
Back
Top Bottom