Usingizi ni uleule; Msouth /bati za rangi kwani kitu gani, shauri yenu

Gogovivu45

JF-Expert Member
Oct 10, 2019
229
133
FH4A2774.JPG
 
Huwa najiuliza ukiweka bati za gharama sana sijui gauge 28 au 26 kwa nyumba ya kawaida, kwani huo ugumu huko juu unataka mtu atembee?
..hata maiti huwekwa kwa jeneza la mamilioni wakati udongo utamtafuna kama alozikwa na sanda ya buku ten..
..hizo ni preferences tu za duniani kulingana na uwezo wa mtu na hadhi (status)

..so kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake na kile anachoona kinamfurahisha whether directly or indirectly..
 
Tufanye vitu kadri ya uwezo sio kwa kuiga.

Unajua kuwa mfanyabiashara anatumia bati za rangi ilikuongeza thamani ya nyumba katika kukopa.

nyumba ni pambo so unafanya kile kitakacho Fanya moyo uwe na furaha

kweli mkuu. maisha ni kupanga kisha kuchangua....
 
changamoto inakuja wengi hatujui tunataka nini kiukweli matokeo yake tunaingia katika gharama tusizohitaji kwa wakati fulani.
niliezeka banda la uani kwa bati la rangi la ALAF g28 kwa sasa inaweza kuwa zaidi ya m11 lakini nikifikiria hiyo gharama ya bati kwa sasa natamani ningeezeka kawaida nyumba ingeshaisha na nakula kodi kwa sasa.
 
:p:p:p:p:p
 
Ni kwasababu hauna hela sasa hivi mkuu ndo maana unasema hivyo ungekua na hela usingewaza hizo kodi...
 
Kwanini ujenge kitu low quality, na ukijenga hyo quality kisa kubana matumizi na kamwe huwezi pata hela ya bati ya msouth.
Fundi anakwambia high quality, infact huna knowledge ya high quality, unaweka bati za gharama.

Ukiwa ndani unaziona hizo bati? Zinakupa ubaridi as AC,?

Priority ya expenses kwangu sio hapo
 
Back
Top Bottom