Majambazi wakamatwa Sinza wakijiandaa kufanya uporaji

Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
4,447
16,303
#VIDEO Inadaiwa tukio la jaribio la ujambazi limetokea asubuhi hii ya Septemba 4,2019 maeneo ya Sinza Mori karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon.

Inasemekana hawa majambazi walitaka kumpora huyu mama aliyetoka NMB kuchukua pesa wakawahiwa na raia wema na polisi waliokuwa eneo hilo.

Huo mchongo utakuwa umesukwa na watu wa karibu wa huyo mwanamke watu wa Benki sidhani. Maana maeneo tunayoishi hasa ya kibiashara tumezungukwa na binadamu wanaotaka hela kwa nguvu machoni tukiwaona kama marafiki na watu muhimu kumbe wamejaa chuki,wivu ,tamaa
 
Io michongo husukwa na wafanya kazi wa benki
 
Huo mchongo utakuwa umesukwa na watu wa karibu wa huyo mwanamke watu wa Benki sidhani. Maana maeneo tunayoishi hasa ya kibiashara tumezungukwa na binadamu wanaotaka hela kwa nguvu machoni tukiwaona kama marafiki na watu muhimu kumbe wamejaa chuki,wivu ,tamaa
Kwanza muda huo bank ilikuwa bado kufunguliwa....!!! Clip nimeiona saa Moja asubuhi!!
 
Hadhi ya majambazi ina zidi kushushwa.siku izi ilo neno ata ali tishi
naijatwittersavages-20190903-0004.jpeg
 
Back
Top Bottom