Hili la kupata mimba pamoja na kufanya juhudi hizi kuizuia limekaaje?

Haya asante sana

Nasubiria hiyo link
Ukitaka kujua kama mtoto atakusumbua akishazaliwa lazima uwe unafanya vipimo kila mwezi kuona kama kweli anakua sawasawa. Lakini lazima uwe na kifua maana ukikuta hakui inavyotakiwa itabidi uitoe.


Usisahau, unwanted na wanted pregnancies zinategemea na hali ilivyo kwa wakati uliopo. Mfano ile siku dyudyu linatema hukupenda kupata mimba, hapo tunaita ilikuwa unwanted ndo maana ulitumia vidonge baadaye. Lakini sasa ushakubali kwamba ni mapenzi ya mungu - Wanted Pregnancy. Ubarikiwe

 
Wanawake bwana sijui mna akili gani!!

Alafu mtoto akizaliwa utaanza oooh nampenda mtoto wangu mara nnafurahi kuwa mtoto kama wewe mara am proud of you my baby!!

Kumbe tokea mwanzo ulimeza mpaka dawa ili mimba yake isitungwe which means hukumpenda na hukua na mpango wa kumzaa from the first place!!

Pointless kabisa sijaona cha kukujibu fikiria unachoona ni sahihi kwako!!!!
 
njinjo,
Shukrani sana ubarikiwe na wewe
nipo hosp hapa kufanya ultrasound na vipimo vingine
 
NB: Negative comments hazitakiwi, mimba ni mipango ya Mungu wakati mwingine. kubali kulea mimba acha ujanja ujanja. unataka utamu unaogopa mimba kwa nini ?

Ndio maana nimeikubali tangu siku ya kwanza nilipojua ipo
ALHAMDULILLAH
 
Jamani mimba haitungwi right after sex. Sperm zinachukua almost 24hrs kufikia yai ili kufanya fertilization. Sema p2 ni kama kubet sometimes haifanyi kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuanzia dk 45 sperm inaweza kurutubisha yai na mimba kutungwa, mpaka masaa 72 kwahiyo itategemea mazingira. Kama mtoa mada hapa inawezekana kabisa mimba ilishatunga kwa hizo tarehe na masaa aliyotumia p2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimba yangu mpaka sasa ipo salama hamna tatizo lolote accorrding to the ultrasound ila after two months nitarudi kumuangalia tena
 
NB: Negative comments hazitakiwi, mimba ni mipango ya Mungu wakati mwingine. kubali kulea mimba acha ujanja ujanja. unataka utamu unaogopa mimba kwa nini ?
Sasa hizo mimba zikitungwa kwa kila tendo patakalika? au huyo Mwanamke atazaa mara ngapi?
 
Hongera kipenzi mama k, fanya mabembelezo ya ndoa kabla au baada ya kuzaliwa mtoto.

Hawa wanaume sio rafiki sana baada ya kuzaa.

Jipange kipsycholojia pia kuhusu swala la malezi ya mtoto.

Be blessed and I with of it to be a bouncing baby boy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachojua p2 haitoi mimba. Haiharibu kiumbe baada ya kuingia bali inaharibu mbegu za kiume zisiende kurutubishwa. Naweza kusahihishwa kama nakosea

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata Doctor kasema hivyo na tulivyoiangalia iko salama ila after two months nitaenda kuangalia tena maana kwasasa bado ndogo sana ila imeonesha iko poa.

Na amesema hizo dawa haziwezi kuleta tatizo maana mimba ilishatungwa na haijaharibiwa iko salama.

Ila humu unaweza kupata stress‍♀ kila mtu anasema lake pia nimeshauriwa nisiwe na stress mimba iko salama kabisa
 
Back
Top Bottom