Recent content by Shytown

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    WEPESI WA MTOTO TANGU AKIWA MDOGO.. Mtoto mwenye mwili mwepesi na asiye kuwa mbishi mbishi na anayefanya majukumu anayo agizwa chap, asiye na kiburi/hasira, asiye nuna nuna - anapendwa kuanzia nyumbani, shuleni, kazini na hata mtaani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Hivi unafikiri kumpata mtu sahihi wakumpa gari la milioni 700 akuendeshee, ni rahisi kama kumpata dereva wa bodaboda Lakini pia, huwezi kumuadhibu mtu kabla ya kusilikiza madai yake ukaona kama yana mashiko...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, unamjua Godfrey Msongwe Kasekenya

    Ukishaona mtu anawazia dini badala ya Kiongozi mwenye uwezo wa kutuletea maendeo; Jua uwezo wake wa kuelewa mambo ni ngazi ya chekechea... Binafsi huyo kiongozi ndio nimemsikia leo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    wewe inaonekana ni muhanga wa somo la Hesabu Kigoma kule nilipokulia waislam ni 70+% Kule Rukwa kwa majirani zetu waislam ni kama 60+% Mtwara huko waislam 95% Kilimanjaro huko; nilipita wilaya inatwa mwanga wailam ni 80% Arusha waislam ni 50% na mjini Arusha waislam ni 70% Singida huko ratio ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niliweka rekodi Iringa > Dar

    Mbona hizo gari zilikuwa na kms 120 na chache 180. Lakini kipindi hicho sijui kama barabara zilikuwa nzuri uweze kutembea hata hiyo 120kms
  6. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Wakati sisi wengine tunawazia tupate kiongozi atakayefanya MAPINDUZI MAKUBWA YA SAYANSI (pengine kwa kuanza na ajira za waalimu 50,000 wa Hesabu na sayansi); ILI nchi iweze kuvuka hapa ilipo, wengine wanawazia dini? KINACHOLETA MAENDELEO SIO DINI. TUNAHITAJI POSITIVE MIND SET AMBAYO INAPATIKANA...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Mwisho wa kutumia takwimu za kupikwa ilikuwa mwaka 1947 pengine baba yako alikuwa hajazaliwa, sasa usidhalilishe Elimu yako hata kama ni ya darasa la saba. Nakumbuka kuna mmoja alipika sensa akatuambia sijui 70% ya raia wa Israel ni wakristo kumbe Wakristo waliopo pale ni chini ya 2%
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    UELEWA WAKO WA ELIMU YA USILAM NI SAWA NA UCHUKUE MTOTO WA SHULE YA MSINGI UMPE KITABU CHA CHEMISTRY FORM THREE ASOME. TAFISIRI ATAKAYOITOA 95% ITAKUWA SIO SAHIHI KWA KUWA ELIMU YAKO JUU YA UISLAM NI NGAZI YA CHEKECHEA, UNGEOMBA UELEKEZWE BADALA YA KUAMINISHA WATU KITU USICHOKUWA NA ELIMU...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi mkeo anapokunyima Unyumba, unatakiwa kuchukua hatua gani?

    Nafikiri wanaume wanaopitia changamoto ya kunyimwa ni zaidi ya 50% ni vile Wanaume hawapendi kusema hadharani mambo ya ndani. Na hii imechangia kwa baadhi ya wa baba kutafuta suhuhu nje ya utaratibu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Bentley wamezindua Gari yao ya Kwanza ya Umeme: Torcal Fastback SUV!

    Ningepata nafasi ya kufanya mabadiliko kwenye mfumo wa Elimu yetu; ninge geuza MTAALA WA ELIMU kuanzia msingi hadi Sekondari twende na SAYANSI TU hayo masomo ya Art watu wangejisomea wenyewe. Baada ya miaka 15, ungeona madude kama hayo yana anza kubuniwa hapa nyumbani, drone, Helicopter, simu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kitabu hiki cha Kiislamu kinasema Shetani ni Muislamu

    Nilikuwa kwenye dhehebu moja lisilo amini kwenye Chrismas ILA kukawa na vitu sivielewi vizuri Baada ya kuwa mtu mzima, nikaona nijipe muda wa kumtafuta Mungu. Na ujue baadhi ya wahubiri wakitaja mstari pale ukienda kusoma kuanzia mwanzo unakutana na maana tofauti. USHAURI WANGU NI KUWA PAMOJA NA...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    Kwa nini usomeshe mtoto English medium ya 3M na wewe huna uwezo? mbona zipo English medium za watu wa kawaida around 1m to 1.2m Hiyo hela nyingine, mwekee kwenye account kwa ajili ya kumuendeleza.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madhila wanayopata Iran kufuatia kuwekewa vizuizi kwenye bandari zake zote na Marekani

    du kumbe na hii ni ID yako? umetisha sana!
  14. S

    JamiiForums Tanzania El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa

    Ningeambiwa nitoe maoni kuhusu ratiba, HESABU ingekuwa na siku yake yenyewe (kutokana na umuhimu wake). Na kama ratiba ipo tight ningeipanga na kiswahili au English language
Back
Top Bottom