Recent content by shykwanza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimevua Gamba (CCM) rasmi najiunga na M4C & Peopes Power (CHADEMA) forefer

    Asanteni makamanda kwakunikaribisha na kunivika Gwanda na Ukamanda sasa mapambano yanaanza rasmi
  2. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Mgomo utahusisha pia kutokusahisha mitihani ya wanafunzi na kutoa matokeo ya muhula wa kwanza
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nimevua Gamba (CCM) rasmi najiunga na M4C & Peopes Power (CHADEMA) forefer

    Baada ya kutumia muda mwingi kukitetea chama cha Magamba (CCM) hapa JF bila kuweza kubadili upepo wa vuguvugu la ukombozi natangaza rasmi kuachana na siasa za maji taka za CCM na kujikita katika ukomboza wa kweli wa Mtanzania kupitia M4C. Aidha kwasasa nakujikita kutetea wanyonge wenzangu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Walimu wote kuanza Mgomo Jumatatu Tarehe 01/07/2012

    Uongozi wa kamati maalum ya kudai haki na maslahi ya walimu kupitia CWT- Chipolopolo; kwa huzuni kabisa tunapenda kuutanfazia Umma kuwa tarehe 01/07/2012 siku ya Jumatatu Walimu wote wa shule za sekondari na shule za Msingi wanakwenda kuanza mgomo wa siku tano kuishinikiza Serikali kuongeza...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Komba, ulijuaje Nyerere atakufa hadi utunge nyimbo za maombolezo yake??

    mods toeni huu uzi kama mlivyotoa ule uzi wa ukweli ambao ulikuwa unamwaga hadharani ubadhirifu wa Slaa na Mbowe chadema
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

    mashabiki wa chadema cjui umetolewa kafara mnachokipenda hakijulikani lakin tunawasamehe hamjui mlitendalo daima CCM itabaki kutawala hadi hapo kikosi cha wizi chadema kiongozwa na mbowe, slaa kitakapokwenda jela
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    waambieni viongozi wenu wajibu tuhuma za ufisadi zinazowakabili na sio kujamba jamba hapa jukwani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

    Naona upo katikati ya ndoto unaota upuuzi wa kijuha
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM & TLP zang'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    Kampeni za uchaguzi ndani ya jimbo la arumeru zimepamba moto huku upepo wa kisiasa ukivuma vibaya kwa chadema baada ya kupoteza mvuto kwa kasi ya ajabu ndani ya Jimbo la arumeru. Aidha kwasasa ushindani mkali wa kuwania kiti hicho umebaki kwa vyama vya CCM na TLP. Chama cha TLP kimetamba...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waiteka Ambureni

    Sema kweli msafara wa Nasari na CDM yenu umezomewa ulipokuwa ukiingia kitaa cha amburueni hadi kudikia baadhi ya viongozi kulalamika katika ofic ya kata. Habara zilizopo sasa wakazi wa eneo hilo hawataki kabisa CDM wafanye mkutano wao wa kampeni kwani wanaposha umma
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

    Mtaji mkuu wa Chadema ni Matusi
  12. S

    JamiiForums Tanzania CCM wakosa watu nkoamansa ni kweli kabisa leo

    Acha kupiga yowe hapa funguka kiukweli CCM leo imefunika mbaya kwani mgombea wake amepokelewa kwa maandamano na shwangwe kubwa kutoka wakazi wa sehem hiyo huku wakiimba Chadema tuacheni na CCM yetu nendeni na vurugu zenu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wahusika wa usalama Chadema mko wapi?

    Jana Chadema ilikosa watu katika mikutano yake ndio ikamulazimu Mgombea wao kujipitisha pitisha katika masoko, shuleni na misibani hakika upepo kwao unaweendea vibaya sana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

    Sio kosa lako ni ilani ya chama chako inakuharibu
  15. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA shughulikieni Mwigulu Mchemba anawachafua

    Chadema mmefundwa kutukana tu na sio kujenga hoja
Back
Top Bottom