Recent content by shyja

  1. S

    JamiiForums Tanzania unauthorized user

    Ahsanteni kwa wote. kila kitu kilienda poa kama jinsi mlivyoelekeza.
  2. S

    JamiiForums Tanzania unauthorized user

    Ahsante. nilifnikiwa ku create. japo kuna baadhi ya watu nilokuwa ni ki wacreatia zilisumbua lakini hatime mambo yalikaa ppoa kwa wote.
  3. S

    JamiiForums Tanzania unauthorized user

    sawa mkuu kwa kuguswa kwako. pia kwa mtu amaeamini mtu flani anaeza saidia, anaweza mtag. maana hapa kuna foleni ya vijana wanataka kujua nini tatizo. tunashindwa tujisaidiaje ili kutatua tatizo hili.
  4. S

    JamiiForums Tanzania unauthorized user

    Habarini za majukumu ya leo wana jamii forums. Naomba kuwashirikisha moja ya changamoto iliyotokea kwa watu kadhaa katika zoezi la uombaji wa kazi ya ualimu kupitia tovuti iliyotolewa na TAMISEMI. Baada ya muda mrefu wa mtandao kuwa bize hatimae mfumo umefunguka vizuri. Baadhi ya watu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Cheki inbox
  6. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Kumbe kitu HD. Gracias bro
  7. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Hahahahaaa
  8. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Mi bado sijaona aisee. Naomba connection kama unayo niione na mimi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Kwani amefukunyuliwa kweli? Au ilikuwa ya kawaida tu? Maana haendani na kufukunyuliwa na yale mawaidha yake
  10. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Habarini, natafuta connection waungwana
  11. S

    JamiiForums Tanzania Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

    Mambo ya connection kaka, hahaha
  12. S

    JamiiForums Tanzania English learning thread

    This thread is really interesting, especially for people who are interested in languages. I believe, the thread will be a lead for someone to gain courage and challenges in learning English language. Though it is not in formal way, but most of people learn effectively in environment where they...
  13. S

    JamiiForums Tanzania icloud unlock for iphones

    mimi huwa naona ni busara kumpa mtu nafasi atumie halafu upate cha kuongea. sio kumjaj mtu bila kumuona performance yake. kwan ukimpa nafas utapata kitu cha kujifunza kuliko kubaki na ujuzi wa kukariri vitu vya mwaka 47 katika karne ya sayansi na teknolojia. sio vibaya ku update ujuzi.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani duniani ni wazuri wa series?

    kwangu mimi naona ni Marekani ni kila kitu. I mean zote zipo. kali, mbovu, safi, chafu na kadhalika. ukiachilia mbali series za watoto, kuna series hata mtu mkubwa anavutiwa na anaiangalia. yaan kunakuwa hakuna uongo wa kitoto. ni uongo wa uwezo wa kufikiri wa mtu mzima. japo kunakuwa na uchafu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Star wa Apocalypto movie, kaicheza na ipi nyingine?

    hivi ukali wa muvi ni wachezaji pekee au na director anachangia? hiyo muvi imedirectiwa na Mel Gibson. nilijaribu kufuatilia muvi zake zingine chache, kiukweli nilivutiwa sana na huyu jamaa.
Back
Top Bottom