kwangu mimi naona ni Marekani ni kila kitu. I mean zote zipo. kali, mbovu, safi, chafu na kadhalika. ukiachilia mbali series za watoto, kuna series hata mtu mkubwa anavutiwa na anaiangalia. yaan kunakuwa hakuna uongo wa kitoto. ni uongo wa uwezo wa kufikiri wa mtu mzima. japo kunakuwa na uchafu wa nudity na tabia zingine chafu. b the way sanaa huendana sana na mazingira ya jamii iliyohusishwa, yaani setting