hii point smtme anafanya kitu ali akuone utafanyaje so na wewe unatakiwa ufanye vilevile unayotakiwa kuwafanyia kuliko kusema eti angekuwa mpole tu unatakiw upime mambo mangapi maybe ashakaa kimya smtime unatkaiwa urise voice on spot when needed...
hakuna mtu mjanja zaid ya mwingne coz kila mtu anaishi kutokana na mazingira yake kuna watu dar washambaa zaidiii kuliko hata mtu aliyepo sumbawanga mjini....
arusha wanapenda story za kiume ngumuu kwa expirience yangu ya kukaa nao kusoma nao sasa wengi wao wa kutoka dar pwani na moro wanakuwa waongeaji sanaa af wnakuwa easy kuongea story za jokes mademu mademu kucheka cheka sasa like unakuta wa atown wanapenda story maybe "kuzungumzia jins ya life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.