Recent content by Shusa luck

  1. Shusa luck

    ISRAEL Vs PALESTINE

    Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi imepelekea ata Israel kukosa nguvu za kuikabili Palestine
  2. Shusa luck

    Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    MGOGORO WA ISRAEL NA PALESTINA. Imeandikwa na Shusa Luck Shusa luck Naomba uni follow Kisha tuendelee NINI CHANZO CHAKE, NINI KINAENDELEA NA NI IPI SULUHU YA KUDUMU? #UZI [emoji3468] Uzi huu utaangazia uhalisia wa mgogoro kwa uwazi bila upendeleo. Hivyo kama una mihemko ya itikadi za kidini...
  3. Shusa luck

    Historia kamili ya Israel-Palestine war toka enzi za Ibrahim mpaka sasa

    Kwakuzingatia Historia kati ya Israel na Palestine Yupi mwenye haki ya aridhi wanayo pigania?
  4. Shusa luck

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Yupi ni mcokozi kati ya Israel na Palestine juu ya kile kinacho endelea pale middle east?
  5. Shusa luck

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Acha uongo mzee, mpaka sasa Russia imetekeleza mauaji ya askari zaidi ya 52 wa Ukraine, wewe hizi Taharifa za Russia kupigwa umezitoa wapi? Isipokuwa siku ya Jana (ijumamosi) Ndege ya kivita ya Russia ilidondosha bomu kwa bahati mbaya inchini Russia na kusababisha kuanguka kwa majengo
  6. Shusa luck

    Sayansi ya nyota

    Naombeni tujadili kidogo kuhusu hili Jambo. Je nikweli kwamba ukiwa kwenye mwezi, nyota hauzioni? Kama nikweli, nikwanini?
  7. Shusa luck

    Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  8. Shusa luck

    Wanaume wenzangu, kabla ya kuamua kuingia ndoani fanya kama mimi

    Safi sana kwa maamzi magumu na maamzi sahii
  9. Shusa luck

    Maajabu ya Mbowe, Fatma Karume na Zitto: Wako kimya licha ya gharama za maisha kupanda. Kipindi Magufuli kaziba maslahi yao kelele kila siku!

    Kuna usemi unasema kwamba when things go right go left, wanachokifanya akina Tundurisu na Fatima karume ni kutuonyesha watanzania nikwanamna gani wanapigania Matumbo Yao nasio wananchi, but all in all JPM was the best leader #rest_in_power_my_leader
  10. Shusa luck

    Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

    Vitu vingi me ni kama storry tu zisizo na Ukweli wowote, unawezaje ku prove hilo?
  11. Shusa luck

    Kifo cha Ayman Al Zawahir kimeniuma sana

    Wale jamaa hawajawai kukoswa Kiongozi, subili ataibuka Mwingine tena
  12. Shusa luck

    Marekani: Spika wa Bunge, Nancy Pelosi anaweza kusababisha vita kali kati ya China na Marekani

    Mambo yamefika pabaya sana lakini yote kwa yote Anguko la Marekani limekalibia
  13. Shusa luck

    Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    Acha wakung'utane then tupate The world superpower mpya
Back
Top Bottom