Recent content by shumbe

  1. shumbe

    Need ushauri

    Naomba kuendelea na mada. Jamaa ndio kaingia kingi na muda si mrefu nitaenda nchini kwao tukafanye yale mambo yetu ya utambulisho kwa upande wa kwao. Kikubwa zaidi jamaa wa zamani naye amejitokeza anakuja na madinner kila kukicha lkn nayatilea nnje.
  2. shumbe

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    Nambombe Mmh, haya majina mwishowe tutaandika matusi. Pesa za watanzania zinaliwa na watanzania wenyewe. Si afadhali huyu mama tunamuona ikila kuliko hao wengine wanavyozichezea. Tanzania ni nchi tajiri sana basi tu watu wake ndio wamekosa maarifa na uzalendo. Mbona tungekuwa mbali sana na...
  3. shumbe

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    We umkondo wa Sizwe Huyo mama ni mwenyekiti wa WAMA pia ni FIRST LADY so anayo haki ya kupata mapokezi makubwa eti Huyo bwana makamu naye amepooza ka vile waziri mkuu Wacha mama aje juu. Sishangai kwa meseveni kumuweka mkewe kwenye ngazi ya juu ni kwa vile hawa wengine ni vilaza.
  4. shumbe

    Kiwanja (shamba) linauzwa njiro arusha jirani na nyumba ya masister ni njiani

    @ Mzee serengeti Njiro ni kubwa taja eneo tujue kwa mapana au ww umesikia na unataka udalali. Toa maelezo ya kina
  5. shumbe

    PICHA: Mama Salma Kikwete akiwasili uwanja wa ndege wa KIA

    Heh! Hembu mwacheni ajinome awamu ya mwisho hii. Hivi lsxima tuwe wakweli , leo hii ukiwa rais wewe utaacha kumtreat mkeo unaye amka naye kitanda kimoja! Please tuamke jamani....
  6. shumbe

    Tamthilia ya A woman Of Steel English Version

    Jipu Hapo torrent ndio wapi Hembu dadavua vizuri mwayego na sie tuelewe;)
  7. shumbe

    Tamthilia ya A woman Of Steel English Version

    Yaani hata mm ukipata link unijulishe mtu wangu. Tamthilia nzuri sana digital imekata sehemu tamu kweli. Halafu vingamuzi vingine ITV haikamati:)
  8. shumbe

    TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

    Bwana, we jana nimetoka church nawasha TV michenga kibaooo. Sasa tutakuwa na ving'amuzi vingapi ndani ya nyumba? Maana hiki ambacho nakitumia siku zote sipati local news zaifi ys TBC1 na CITIZEN ambayo ni kenya. Hii ni biashara huria ya ving'amunzi Tanzania
  9. shumbe

    TCRA-Hatutazima mitambo ya Analojia des 31!

    hapo white wizard umenena maana kwa sie wakazi wa dar tuliozoeza antena zetu za mabomba na tube light . hatakuwa hapatishi siku hiyo mtu wangu
  10. shumbe

    SIKU YA UKIMWI DUNIANI (Tunakumbushana)

    @ Ngoshwe Hivi hadi leo haujajua kuwa WaTZ tuna tatizo la uvivu na kutokujiandaa mapema kabla ya siku ya tukio. Hiyo ni aibu yetu sote hapo hao jamaa wanafikiria ten percent zao tu hapo akili haifanyi kazi.
  11. shumbe

    SIKU YA UKIMWI DUNIANI (Tunakumbushana)

    siku hii ni muhimu sana kwetu kwani na hakika kuwa kilamoja wetu ameisha poteza ndugu, rafiki na jamaa kwa janga hili. HIvyo ni vyema tuwakumbuke ndugu zetu na kujifunza kutoka kwao. Kinga ni bora kiliko tiba. Watanzania wenzangu tuwena mazoea ya kuwa tunatumia kondom kwende tendo la ndoa...
  12. shumbe

    Maoni Katiba mpya Dar moto

    mie wameniacha hoi kwenye suala la kubadilisha rangi ya bendera , nyusi na kuweka nyekundu hapo ni tatizo tayari. maana ya rabgi nyekundu ni umwagaji wa damu. inamaana kuna damu inategemewa kumwagika soon. jamani tuwe macho hapo
  13. shumbe

    Need ushauri

    Napenda kuwashukuru wadau wote waliotoa ushauri na wale waliochukua nafasi hii kwa kukagua grammar na kiswahili changu na maandiko yangu. Jambo la muhimu kwangu ilikuwa kupata mawazo ambayo yatanisaidia katika kufanya maamuzi katika maisha yangu. Mungu awabariki na kuwaongezea hekima wale wote...
  14. shumbe

    Need ushauri

    @ Ponera katika kuanzika kuna makosa na sidhani kama niliomba ushauri wa lugha jamami hembu turudi kwenye mada.
Back
Top Bottom