Napenda kuwashukuru wadau wote waliotoa ushauri na wale waliochukua nafasi hii kwa kukagua grammar na kiswahili changu na maandiko yangu.
Jambo la muhimu kwangu ilikuwa kupata mawazo ambayo yatanisaidia katika kufanya maamuzi katika maisha yangu.
Mungu awabariki na kuwaongezea hekima wale wote waliochangia masa hii.
Naomba kuendelea na mada.
Jamaa ndio kaingia kingi na muda si mrefu nitaenda nchini kwao tukafanye yale mambo yetu ya utambulisho kwa upande wa kwao.
Kikubwa zaidi jamaa wa zamani naye amejitokeza anakuja na madinner kila kukicha lkn nayatilea nnje.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.