Tamthilia ya A woman Of Steel English Version

Uncle Rukus

JF-Expert Member
Jun 16, 2010
2,415
398
Habari wakuu, Mimi ni mfuatiliaji wa tamthilia ya A woman of Steel (Soy tu Duena), Kutokana na mambo ya digital nimekwama kuweza kuifuatilia. Hivyo naomba mwenye kujua namna ya kuipata online in English version nitashukuru sana
 
Yaani hata mm ukipata link unijulishe mtu wangu.
Tamthilia nzuri sana digital imekata sehemu tamu kweli.
Halafu vingamuzi vingine ITV haikamati:)
 
Dah! yaani hii tamthilia ni nzuri sana na inaelimisha sana.... Ni bahati mbaya sana mambo ya Digital yametuangusha tena ikiwa imefikia sehemu tamu mno... Nadhani kwa kushirikiana na wadau hapa JF tutapata link ya kutuwezesha kudownload baadhi ya Epsode za hii tamthilia.
 
Basi nenda pale ubungo kwa wauza series waulize utaipata

Nimepita Ubungo nimefanikiwa kupata, ila bahati mbaya ni kwamba wanayo DVD 1 tu ambayo inaishia episode ya 103 ambapo tayari nimekwisha kuziona, na wameniambia hawajapata DVD 2/3....
 
mie ninayo dvd 1 tu ambayo ina tamthilia yote mwanzo mwisho....tena pamoja na behind the scene za telenovela nzima, labda umepata ambayo wamechakachua kwani ilitoka muda mrefu kweli, toka mwezi june mwaka jana...

Dah! Nadhani hiyo DVD yao watakuwa wameichakachua kweli...

Pls kama upo Dar naomba unipatie copy ya hiyo tamthilia, nitakupatia gharama uyakazo tumia.
 
daa pole sana! Ukishindwa kabisa sema nikusimulie mi nlishaiona yote kwa startimes.
 
Duuu mambo magumu tatizo king'amuzi anayejua web site ya a woman of steel aniambie niweze kudown load full story
 
Back
Top Bottom