Recent content by SHUBILA S SHUBILA

  1. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Kilimo biashara

    Ndg HORNET shida yangu ni maandalizi gharama za kuendesha kilimo kwa kuanzia pamoja Na namna ya kupanda.nashukuru
  2. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hakika mwaka huu lazima Na mm nidhubutu kwann m nishindwe
  3. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Kilimo biashara

    Naomba kuuliza juu ya kilimo cha karoti,strawbelly na pilipili hoho. Niko Iringa, naomba msaada wenu.
  4. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Mwanamke abeba bangi mgongoni kama mtoto!

    Kwel huyu kiboko
  5. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Wanachotakiwa kujua wakina Mbatia & Co ni kuwa CHADEMA-asilia walimpigia kura Magufuli!

    Enyi wana ukawa kubalianeni yakua mlitaka vya kunyongwa!!!! Mlimwona Dr slaa kama hafai vile sasa mwamkumbuka angalien msituletee mzaha kwa Amani ya tanzania
  6. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kumkumbuka Dr Slaa

    Hawajaanza Leo tang zitto anaham walianza kuhaha Dr slaa kafata sasa ndo majonz...swal je?mzee kingunge ataenda wap
  7. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania ENL, CHADEMA na UKAWA, Tuyakubali Matokeo!, Tushukuru Kwa Yote!, Life Goes On!.

    Hakika nawwza kusema upeo wako hauna kutu....kama nchi yenye aman Na kwamtu mwenye akil nzur lazima utambu kuwa kombe limehamia chato...kwaiyo tukubal matokeo tusukume mzigo chin ya mchapa kazi mahil.!!!!! Jarib awam ya saba wenzang Na msizoee vya kunyongwa!!!!!!
  8. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Machali na Mkosamali wafuta kumbukumbu ya Zitto bungeni

    Nisha sema kuwa kwenye gwarde wakwanza wakisema nyuma geuka anakua Wa mwisho...zitto oyo
  9. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Upinzani ni kweli wanatetea maslahi ya Taifa au wana Agenda zao za siri?

    Enyi watanzania wa leo,hiki kinacho endelea bunden hadi siku za j.pili mnaona kina leta masilahi ya wa tanzinia kwa ujumla....mnadhan nchi zenye machafuko ya kisiasa yalianza VP....jipange msije kutuletea maafa hapa nchi ya aman....mnacho kifanya sio cha kupewa usafiri bule Na kiinua mgongo cha...
  10. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Viwembe madukan vimejaa kufuga...............ni uchaf
  11. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa Darasa la Saba wafutwa

    Hii ndio Tanzania kwa maneno Na vitendo,,sjaelewa chochote
  12. SHUBILA S SHUBILA

    JamiiForums Tanzania Maoni na upigaji kura wa katiba mpya

    Sku zote watanzania so kwamba tuna uelewa saw a..... Hiyo katiba ya mamilion ya watanzania igesambaa kwanza wanyamwez waisome waelewe then mpange mkakati madhubuti WA kuwafikia walengwa waone km wataipenda ama lahhhh! So mnapanga kuipigia kura wakat hajulikan......Tafakari Na hatua mbele
Back
Top Bottom