Swali kuhusu Kilimo biashara

duh undishi wako hatari, naweza kusaidia hapo kwenye pilipili hoho,
unahitaji kufahamu nini zaidi?
gharama?
maandalizi?
namna ya kupanda
soko au?
 
Ndg HORNET shida yangu ni maandalizi gharama za kuendesha kilimo kwa kuanzia pamoja Na namna ya kupanda.nashukuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom