Recent content by shreak

  1. S

    JamiiForums Tanzania Penzi la kitapeli kati ya Mama Dangote na Mr Shamte

    Mimi nasema hivi......likuepukalo lina kheri na wewe!!!!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana mama yangu mzazi

    Kitu kimoja nilichojifunza ni kuwa kuna watu kwenye maisha wamepitia mambo magumu mnoo tokea labda wakiwa watoto na wengine wakiwa wakubwa labda kwa kuona jamii itawahukumu wameamua kuficha maumivu yao kitu ambacho ni kibaya kimwili na kiroho. Kimwili watu wanaficha maumivu kwa kutafuta furaha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana mama yangu mzazi

    Status yako kiroho ikoje? Naamini ni mkristo na unamuamini Mungu kupitia Yesu kristo tunapata ukombozi.Nimeuliza status yako kiroho ili kujua kwamba tuanzie wapi kama ni kuanza kutengeneza msingi wa imani yako kwanza ok ngoja nikupm nikutumie kitabu flani cha kuanza.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana mama yangu mzazi

    Mdau ...kwanza hongera kwa ujasiri ulionao kushare hili jambo, kuna watu wengine wanshindwa kushare mambo mpk wanajikuta wanapata msongo wa mawazo pengine na yeye anaishia kuwa mlevi bila kujua. Ni matumaini yangu umeshare hii experience yako ili upate msaada. Mi nikisoma content yako i can feel...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani utampa Rais ikitokea umekutana naye na kupata nafasi hiyo?

    Mimi nitamshauri ampokee Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake, Kwa kuwa najua kumpokea Yesu ni kumkubali Mungu ambaye ni nuru kwa hiyo nuru ikiingia moyoni mwake atakuwa na furaha , amani , atakuwa na upendo wa kweli ataanza kujipenda yeye mwenyewe na watu wake atajua kusamehe wanaomkosea...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuzidishiwa chenji au malipo: Mlipwaji kuuchuna ni baraka au ni kosa?

    Mimi pia niliwahi kula hela ya udhalimu.....kuna mteja alikuja ofisini alikuwa kazidisha shilingi elfu hamsini nikanyamazia mambo yakaenda lakini ikawa na mie napoteza hivyo hivyo. Sasa nikakutana na hili andiko Luka 16:10-12 Aliye mwaminifu katika lililo dogo sana huwa mwaminifu katika lililo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

    Sio kila ufahamu watoka kwa shetani.....jiongeze tu. Namuamini Mungu inatosha. Soma Mithali 1:7
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

    Siri ya mafanikio ya Dai anajua mama yake.... Dai hawezi kuoa hata siku moja kwa sababu ana spiritual wife... Hata akioa mke atapata tabu sana huwezi kuolewa na mume wa mtu ukawa na amani... Wasichana wanaotamani kufanikiwa wakae mbali na Dai ..sana sana wataambulia spirit of lust...mwishoni ni...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Je, kauli 'Malipo ni hapahapa duniani' inapinga uwepo wa Mungu?

    Wagalatia 6:7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu ndicho atakachovuna
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Kanisa ni nini?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Hiyo laana iko katika kitabu gani cha biblia? Hawa ni binadamu kama sisi wanafanya makosa Warumi 15:14 Ndugu zangu,nimehakikishwa mimi mwenyewe kwa habari zenu ya kuwa ninyi nanyi mmejaa wema, mmejazwa elimu yote, tena mwaweza kuonyana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Mshana jr spiritual protocol ya kupokea ni kutoa, the more you give the more you receive especially when you give to the less privilage people Luka 6:38 Hii sheria naonaga wamebadilisha wameona wao hawana obligation na wamesahau baraka huambatana na laana. Badala yake wanaeneza chuki kwa T B...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo yanapofeli makanisa ya kiroho

    Well Mshara umetoa elimu nzuri sana kwa hawa viongozi wa makanisa. Jambo moja huwa natafakari msingi wa haya makanisa ni nini? Mi naona kuna shida ya kiroho ambazo zimetawala kuna unclean spirit zinatakontrol haya makanisa .Unakuta mwanzilishi wa kanisa alikuwa anahudumu kanisa flani...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Manabii na Mitume matapeli, tumechoka kuwavumilia sasa

    Mambo ya Mungu ni ya kiroho , na Mungu ni roho ukitaka kumjua au kujiridhisha kama Mungu yupo au matendo yake ni kweli au la inabidi uwe mtu wa rohoni. We commincate with God through prayer and believe in his words . Science ni mambo ya kibinadamu (flesh). Mungu alituambia katika Yeremia 33:3...
Back
Top Bottom