Recent content by showtie

  1. S

    JamiiForums Tanzania Geor Davie ni nani?

    Unajua siku zote kazi za nabii ndio zinamtambulisha biblia yenyewe inatuongoza kwamba mwaminini mungu mthibitike waaminini manabii mfanikiwe .Hii inatuforce sisi mumwamini pia je utajiuliza kwamba nabii was kweli ni yupi ? biblia inatuambia kwamba nabii wa kweli ni yule anaetamka kitu kikawa...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Chokoraa

    kumbe nlikua nimepitwa hivi!! ila leo nimeisoma yote, mungu awasaidie wakina mwanaidi
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    dah inaanza kuelekea pazuri
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Uko juu mkuu Casuist Hii riwaya ingetengenezewa movie ingekubalika kimataifa aise!
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    sina uhakika lakini naamini ni typing error mkuu
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Mkuu hapo amekosea tu ni typing error, ameandika Ramla badala ya Ntahondi. Msamehe kama alikuchanganya
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Dah mtunzi yuko vizuri hongera kwake mkuu Casuist unapataga wapi hizi hadithi coz sio rahisi kupata hadith zote nzuri ila ww umenishangaza hadithi zako zote ni nzuri tupeane basi siri mkuu!
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Kweli bora amalizie leo coz watu hatukai kwa amani
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Chokoraa

    Mmmh! sisemi kitu kwa sasa!
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Sitaisahau Facebook

    Hi hadith imenifanya nifikirie vitu vingi sana kuhusu hii mitandao ! nashukuru sana mkuu
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Safi sana mkuu Casuist imeishia pazuri sana
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Casuist njoo utupe ya kulalia usingizi haupo mkuu
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Sitaisahau Facebook

    Aise! inatia huzuni sana, poleni kwa visa vinavyo wakuta akina isabela
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    duh mkuu ninoma usisahau kutuekea badae coz hapa yani nataka kujua nini kiliendelea ila sijui. Hongera kwa story nzuri Mkuu Casuist
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RIWAYA: Siku ya graduation

    Mkuu Casuist tupia basi ya kulalia please please!
Back
Top Bottom