Nyingine kasema atatupa uck!!Mbona fupi hivyo?
Mbona fupi hivyo?
Umeanza, subira gani Excel?
Mie hata sijui chochote, ngoja nisubiri kujua jina halisi la isabella na wazazi wake, Au nidokeze basi kama unawafahamu
kumbe hukunielewa ram? isabella anaitwa subira kwa jina lake la asili.. trust me!
Mama yake halisi ni kichaa! huyu mwalimu nchimbi alipewa mtoto wa wizi bila yeye kujua coz mwanae alikufa wakati wa kujifungua enzi hizooo!
we ngoja uone... mi natabiri hayo kabisa!

amina mabata unapenda sana hadith mpk kule kwengin nakuona jamn.
Isabella anaitwa .............