Hii ni barua ya wazi kwenu nyote hasa ya juu ya Vita hivi Mlivyoamua kuvianzisha Dhidi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi
Naandika haya nikiwa na uhakika na pasi na shaka yoyote kukuelezeni hayo mnayoyafanya wala hamtakaa mfanikiwe labda mumjaribu Nchimbi mwingine.
Binafsi nimeona na Nchi imeona na...
Kumekuwa na sintofahamu inayoendelea na wengi kutokujua ni nini hasa kinachoendelea ila kwa kuwa siri haijawahi kuwa ya watu wawili mambo yameanza kuvuja
Ifahamike tu kuwa si rahisi sana kuelezwa yote lakini mwanzo mdogowa jambo huendeleea kutoa picha halisi ila ukitaka kujua mengi Abdallah...
UVCCM Mkoani Arusha Yapata Tapeli Mzuri wa Kuiongoza
Haijaisha hata miezi miwili toka uchaguzi wa Marudio ufanyike lengo likiwa kujaza nafasi mbali mbali zilizoachwa wazi ndani ya CCM Mkoani Arusha.
Uchaguzi huo ulijaza nafasi mbali mbali ikiwemo ya aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha...
#Mchakato ndani ya CCM Warejewa
# Gazeti la Jamhuri lahusishwa
# Kauli za Membe zazua gumzo
# Zanzibar kumbe ni Mtego
# Matamko ya Vijana wa CCM ni shida
# Kauli ya JPM Arusha yazua utata
# WanaCCM wasema Lowassa si tatizo bali ni CCM wenyewe
Ni takriban miezi miwili sasa tangu...
Chanzo cha ndani Ikulu kimetoa habari kwamba mpaka sasa kazi zinazofanywa na Magufuli si mageni hata kidogo.
Kws mujibu wa chanzo hiki ni kwamba mafile yaliyoko mezani yalipelekwa siku nyingi sana na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Hoseah ila Serikali iliyokuwa ilipuuzia na kuyaweka kando...
Unapozungumzia siasa za hapa Nchini Tanzania hasa katika upande wake wa pili yaani Visiwa vya Zanzibar hutoweza kumaliza mazungumzo yako ama tafiti zako pasipo kutaja jina la Mzee Amani Karume. Mzee Karume ndiye muasisi wa Mapinduzi Visiwani Zanzibar toka miaka '60.
Kama ilivyo katika Mataifa...
Kila kunapokucha Taifa letu linaendelea kuingia katika giza tororo hasa kutokana na baadhi wa wale walioaminiwa na Raisi kuhakikisha kuwa wanaendelea kuziacha Wizara zikiwa hoi kutokana na Ufisaidi wa kutisha.
Kabla hata swala la Escrow halija futika katika mioyo na fikra za Watanzania jambo...
Ndani ya CCM mnyukano unazidi kuendelea katika kuelekea kumtafuta mtu atakaye mrithi JK mwaka huu.
Sintofaham imeendelea kujitokeza hasa kutokana na kuahirishwa kws Vikao mbali mbali vya CCM na vile vile kubadilishwa kwa Mikoa iliyokuwa ikiandaa Mikutano hiyo. Mathalan habari za ndani ya Chama...
Unapozungumzi Kikao cha Bunge kinachotazamiwa kuanza mapema wiki ijayo si rahisi sana kusahau kuzungumzia skendo ya SUKARI ambayo kwa sasa imekuwa ikiitafuna Nchi.
Tumetoka kwenye Skendo kubwa ya Account ya Tegeta Escrow majuzi na sasa Skendo ya Sukari limekuwa ni janga kwa Taifa hasa...
Hahahaaaa Hongera sana Mkuu umewajibu Wambea wa ufasaha na uhalisia,kimsingi post kama hz hazina ladha tena nashaur vijana wanaotumiwa watunge story nyingine hii imeshaboa. Tutalivuka Daraja Tukilifikia
CC: Vijana wa Wama na Makonda
Hdb mh rais tunakutakia maisha marefu,lkn pia naomba nikukumbushe watanzania wanahitaji kufahamu yale majangili 40 hatari kabisa duniani na baba lao yupo arusha
Shukrani sana Mkuu, leo hata mimi situmiinguvu kubwa kwa Uzi huu, kifupi Mh Lowasa amewasikia,amewaelewa na wala hatawaangusha waTanzania, na watanzania wanamhitaji,ni suala la muda tu.Mungu ibariki Tanzania, Mungu Mbarik Lowasa
Hizo ndo zile akili za kushikiwa, Wewe unasema Lowasa mwizi, katiba kwa nini watu wanataka Raisi mwizi? None sense
Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake Ruti mbona wana Kesi ICC lkn bado wanaongoza nchi na inashine kuliko Tz mwenye uhuru wa kusafiri kila siku.
Madagascar walichagua DJ sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.