Barua ya wazi kwa Makonda na Sixtus Mapunda

Shondola

Member
Apr 2, 2014
95
58
Hii ni barua ya wazi kwenu nyote hasa ya juu ya Vita hivi Mlivyoamua kuvianzisha Dhidi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi

Naandika haya nikiwa na uhakika na pasi na shaka yoyote kukuelezeni hayo mnayoyafanya wala hamtakaa mfanikiwe labda mumjaribu Nchimbi mwingine.

Binafsi nimeona na Nchi imeona na Chama chenu kimeona namna mnavyomtumia kibarua wenu huyo the so called Rock Mwakibinga kumchafua Dkt. Nchimbi bila sababu ya msingi yoyote mkiendekeza tabia zenu zile zile za kipuuzi na za kifitini ambazo zimewafanya mfike hapo mlipo leo.

Kwanza Mwakibinga uwezo huo wa kuandika hayo yote hana na wala hatokaa awe nao maisha yake yote so you guys have decided to choose a wrong person with no qualification and personality. Angalau mngetafuta mtu wa maana wa kusema hayo.

Lakini pili kuchafuka kwa Sixtus hakupelekei watu wengine wachafuliwe eti ili mfanane ni ujinga wa kiwango cha vumbi. Hivi lile Baraza la juzi kwamba halikuona hayo yote? Na wewe Makonda si uliwahi kuwa na cheo humo ni kwanini ulisubiri mpaka muda huu utumie mtu si ungefanya kipindi hicho ama hukufanya kwa kuwa nawe pia ulikuwa sehemu ya ulaji (this proves how you were disqulified from MUCCOBS).

Halafu ni bahati mbaya sana mna-deal na mtu hatari kwa uwezo wake kichwani na kwa experience ya kutosha na ndiyo maana mnatumia watu ni kwanini msitokeze hadharani mseme hayo madhambi kama ambavyo uliwahi kusema kwa yule Mkurugenzi wewe si ni mwamba! Kubebwa kwako kwa nafasi hiyo uliyo nayo kusikupelekee kuona unajua kila kitu halafu sasa umebebwa kutoka na tabia chafu isiyoelezeka.

Na kama mnaona ipo shida mfuateni Rais mwambieni afanye kama Mkapa alivyowahi kufanya kipindi cha kina Guninita avunje hiyo Jumuiya na si kuanza kuchafua watu wenye heshima zao kisa kiherehere chenu kisicho na mipaka. Shule mmeshindwa hata haya ya duniani hamjui namna ya kudeal nayo na hiyo ndiyo taabu ya kubebwa.

Mimi niwashauri Nchimbi tafuteni namna bora ya kushughulika naye na si kwa mtindo huu wa kumtumia huyo kifaranga yaani kwanza mmeshamwaribia future yake so far. Halafu alivyo hayana haya anasema kabisa katumwa! Mnataka Nchimbi achafuliwe ili nini sasa! Kuna vita vingine mnatakiwa kujipanga kweli kweli.

Shondola (Makao Makuu)
 
Muccobs ndo wapi??

Na nchimbi ndo nani ? Naomba kujuzwa

Ivi ile ishu ya lugumi enterprises limited liability company iliishia wapi ??

Naombeni kujuzwa
 
Hujaeleweka. Ama umetumwa kumtetea Nchimbi ama wewe ndiye. By the way ulipaswa kueleza Nchimbi kafanya nini na utetezi wako upo upande gani. By the way hoja ya msingi kwa sasa ni Nchimbi kujimegea Floor nzima ya kitega uchumi cha UVCCM na fedha zinaenda mfukoni mwake
 
Ila mheshimiwa mbona umeandika kwa hasira sana hadi maneno na sentensi nyingine hazisomeki na hazieleweki! Rudia uedit mkuu la sivyo subiri waje
 
Hujaeleweka. Ama umetumwa kumtetea Nchimbi ama wewe ndiye. By the way ulipaswa kueleza Nchimbi kafanya nini na utetezi wako upo upande gani. By the way hoja ya msingi kwa sasa ni Nchimbi kujimegea Floor nzima ya kitega uchumi cha UVCCM na fedha zinaenda mfukoni mwake
Hiyo ni kawaida ya Wana CCM wote wezi unachoshangaa ni nini?
 
Du umaneni ila angalieni msimalizane.
Hii ni barua ya wazi kwenu nyite hasa ya juu ya Vita hivi Mlivyoamua kuvianzisha Dhidi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi

Dkt Nchimbi vipi mbona umeibuka jf kwa mkwara mzito hivo? Kama vipi na wewe ita waandishi uwalipue wenzio hao kwani si mnajuana vizuri? Mwaka huu tutashuhudia mengi?
 
Hujaeleweka. Ama umetumwa kumtetea Nchimbi ama wewe ndiye. By the way ulipaswa kueleza Nchimbi kafanya nini na utetezi wako upo upande gani. By the way hoja ya msingi kwa sasa ni Nchimbi kujimegea Floor nzima ya kitega uchumi cha UVCCM na fedha zinaenda mfukoni mwake
Mhhh hii statement inathibitisha kauli ya watabiri wa hapa JMF..unaweza ukawa yeye..
 
Hujaeleweka. Ama umetumwa kumtetea Nchimbi ama wewe ndiye. By the way ulipaswa kueleza Nchimbi kafanya nini na utetezi wako upo upande gani. By the way hoja ya msingi kwa sasa ni Nchimbi kujimegea Floor nzima ya kitega uchumi cha UVCCM na fedha zinaenda mfukoni mwake

Usitakee niamini chama langu ccm ni chama cha kupiga madili tz..
 
Back
Top Bottom