Shondola
Member
- Apr 2, 2014
- 95
- 58
UVCCM Mkoani Arusha Yapata Tapeli Mzuri wa Kuiongoza
Haijaisha hata miezi miwili toka uchaguzi wa Marudio ufanyike lengo likiwa kujaza nafasi mbali mbali zilizoachwa wazi ndani ya CCM Mkoani Arusha.
Uchaguzi huo ulijaza nafasi mbali mbali ikiwemo ya aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha. Nafasi hiyo ilijazwa na Bwana Lengai Sabaya ambaye pia ni Diwani wa kata ya Sambasha kijana wa DC Mstaafu Bwana Loi Sabaya.
Hali ya Jumuiya hiyo imeanza kuwa na tashtiti hasa baada ya Mwenyekiti huyo kuanza kuonesha rangi zake halisi "utapeli" kwa kufanya mambo kinyume na taratibu za Chama. Inasemekena hata wakati wa kupitishwa kwa jina lake katika vikao vya Chama Mkoani Arusha kuna baadhi ya wajumbe wa kamati ya Siasa ya hapa Mkoani walitaka jina lake likatwe baada ya kutapeliwa fedha zao na Sabaya ila inasemekana alikingiwa kifua na Ndugu Lekule ili naye aweze kutengeneza mtandao wake
Sasa hali imezidi kuwa tata baada ya kuonekana hela nyingi za miradi ikifujwa hovyo na vile vile Katibu wa Vijana Mkoa huo kusikika akilalamika kuwa Mwenyekiti huyu amekuwa akishinda Ofisini toka saa 3 za asubuhi mpaka 10 jioni kinyume na taratibu. Inasemekana kwa kawaida Katibu ndiye Mtendaji.
Hivyo Ofisi huwa chini yake katika maswala yote ya Utendaji na Mwenyekiti huenda Ofisini pindi atakapohitaji labda kuongoza vikao ama wakati mwingine kupita tu na kusalimu au kupangiwa ratiba maalum kwa ajili ya kukutana na Vijana ila hili limekuwa tofauti sana kwa Bwana Sabaya ambaye yeye anajiita Mwenyekiti Mtendaji.
Lakini vile vile Mwenyekiti huyo anasemekana kuanza kuleta mgogoro hasa baada ya juzi kutuma baadhi ya watu kutoa matamko kumkataa Kamanda wa Vijana wa Wilaya ya Arumeru Ndugu Erasto Mathias Manga jambo ambalo kwanza hana mamlaka nalo lakini pili kakiuka utaratibu.
Hata hivyo Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Arumeru Bwana Boniface Mungaya akizungumza na Sunrise Fm baada ya kuudhiwa na jambo hili yeye pamoja viongozi wenzie walitoa onyo kali kwa Mwenyekiti wa Mkoa (Sabaya) kwamba aache kutoa matamko yake akiwa amelewa mvinyo na wakamtaka amwache Manga manake Manga ni Kamanda wa Wilaya na si wa Mkoa. Bwana Boniface alisistiza kuwa wanajuta kumpa tapeli kuongoza Jumuiya katika Mkoa wao.
Si hivyo tu bali Vijana na baadhi ya watu wameomba Chama na Serikali waingilie kati hasa swala la Bwana Sabaya kujifanya mtu wa Usalama wa Taifa na kutumia vitambulisho feki akiwa Bar ili kutolipa bili na wakati mwingine amekuwa akitumia kutisha hata wenzie jambo ambalo sasa limeonekana kuwa kero na kuudhi watu.
Vile vile kuna wafanyabiashara watatu nao wamelalamika kutapeliwa fedha na kiongozi huyu huyu kwa kitambulisho hicho hicho feki. Vijana wa CCM vile vile wamekiomba Chama kushughulika na huyu bwana manake ameonekana kuwa jipu lililoko utosini.
Taarifa toka Mkoani Arusha zinasema baadhi ya viongozi wenzake nao vile vile wameshakerwa na aina yake ya uongozi ambao amekuwa akifanya vitu bila kushirikisha wenzie hasa kwenye mambo ya fedha lakini baya zaidi inasemekana Sabaya ameteua Katibu Hamasa na Chipukizi bila kufuata utaratibu jambo lililopelekea Viongozi wenzie kupiga simu Makao Makuu na kulitolea swala hilo taarifa ili hatua stahiki zichukuliwe.
Vijana wameonesha wasi wasi wao mkubwa kwamba mwenendo wa huyu bwana waweza sababisha akauza hata baadhi ya miradi ya Jumuiya au akaishia kubinafsisha kwa maslahi yake binafsi. Manake ameshaonekana kuwa mmepanda fesha sana kuliko kujenga Chama.
Mawasiliano yamejaribu kufanyika katika ngazi mbali mbali lakini viongozi wengine hapa Mkoani Arusha kila walipopigiwa simu walisema wako kwenye ziara ya Makamu wa Rais. Sabaya mwenyewe alipopigiwa simu alisema anajua kuna Mbunge mmoja mwanamke Mkoani Arusha anaye muhujumu ila atapambana naye mpaka mwisho.
Alipoulizwa ni Mbunge wa Chama gani alihoji kwa kufoka wewe unadhani Mbunge wa Chadema atanihujumu ili iweje? Japo hakutoa majibu ya moja kwa moja ila Arusha Wabunge wa Viti Maalum wako wa CDM na CCM ambapo wapo kina Joyce Mukya na kina Catherine Magige na kwa majibu ya Sabaya kwamba Mbunge ya CDM hawezi kumuhujumu basi aliyebaki wa CCM ni mmoja.