Shondola
Member
- Apr 2, 2014
- 95
- 58
Kumekuwa na sintofahamu inayoendelea na wengi kutokujua ni nini hasa kinachoendelea ila kwa kuwa siri haijawahi kuwa ya watu wawili mambo yameanza kuvuja
Ifahamike tu kuwa si rahisi sana kuelezwa yote lakini mwanzo mdogowa jambo huendeleea kutoa picha halisi ila ukitaka kujua mengi Abdallah Bulembo anaweza kuwa msemaji ama mficha siri wa mkakati unaoendelea dhidi yake "yeye" nyumba kubwa na UDP.
Ni ukweli usiopingika kwamba UDP wanawezeshwa (financed) na nyumba kubwa na ni mtoto mdogo tu na wale wasiojua siasa kabisa ndio unaoweza kuwaongopea sasa hivi kwamba mawasiliano si mazuri kabisa kati ya nyumba kubwa na viongozi wa Chama chake.
Vurugu iliyopo ni kubwa na hakuna amwaminiye mwenzie na kila mmoja anataka afanye jambo litakaloshangaza Nchi hii. Na ndiyo maana tention imekuwa kubwa mno ikifikiriwa na kutazamwa Mkutano mkuu wa chama "tawala." Bavicha si tatizo hata kidogo na hata hao Bavicha si vichaa mpaka kusema wayasemayo lipo jambo na Bulembo pamoja na wale wa UDP wanajua kinachoendelea.
Huyo mwenzenu Mzanzibar eti anasema wako tayari kukabiliana na Bavicha hivi si mumuulize wamefanya jitihada gani angalau wakaingiza Vijana hata wa5 katika teuzi? Halafu hiyo Jumuiya kwani hamkumbuki historia ya Nchimbi vijana waling'aa na heshima ilikuwepo hata yule mwingine Malisa (pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu tena mengine alikuwa akisababishiwa na kidoti) bado Jumuiya ilikuwa strong na vijana waling'aa lakini hii yenu eti leo mtu anasema nao wanakwenda Dodoma.
Angeita kikao chenu kwanza asema nini kimetokea mbona mmedharaulika.. Nyie mnang'ang'ana na Bavicha ambao kwanza hawana cha kupoteza! Eti mnadanganywa mtatazamwa kwenye teuzi za Wakurugenzi (nacheka kwa dharau) hivi kwani nyie hamjuia kwamba hizo si nafasi za kisiasa ni Utendaji tu na Bwana Mkubwa toka awali mmeona yeye ni MaDkt, MaProf etc sasa huko mmejazana Walimu (tena ana CV zenu) ndo maana pale UD alisema hawa wana Siasa ni mafailure....... Hilo nalo hata hamlioni waiiii ahauri yenu bana. Naendelea hivi
Ukisikia vile vyombo vyetu kila leo wanasema wanamtafuta GWAJIMA tena wameenda mbali kusema eti wameshirikisha Interpol hivi kweli kwa akili hata za chekechekea kama kweli wako serious toka day One Gwajima angeshakamatwa na angeshafikishwa kwenye vyombo vinavyohusika.
Gwajima kapitia airport zetu, Gwajima kakata ticket hapa hapa, Gwajima pasi yake ya kusafiria ni ya hapa hapa, Gwajima VISA kaombea hapa hapa yaani ningepewa dakika 4 tu ningeshampata manake hivi kweli for xrist sake unawezaje mpata mtu anayeingiza 7M in a second ushindwe kujua Baba Askofu Gwajima aliko!
Lakini hawezi kukamatwa manake yeye alitumia kinywa chake kufikisha ujumbe ALIOPEWA na wakubwa na ujumbe ulifika barabara ndo maana the day after wakaanza kuweweseka na pakatangazwa tarehe ya mkutano wao (ambao vile vile bado kuna utata).
Na wakati wao wakiweweseka na kwa kuwa yeye (Gwajima) alijua kabisa siku inayofuata angetafutwa (who knows aliambiwa kabisa ajiandae) basi yeye akapita airport tena bila pupa wala woga akasepa! Eti leo anakuja mtu confidently kabisa anatuambia wanamsaka (ningekuwa na mamlaka huyu ningemfukuzia mbali akaendelee na upadri).
Kuna vita vya chini tena ni vikubwa mno na wenye akili wanajua na wako tayari kwa lolote UDP ina ufadhili mkubwa kutoka nyumba kubwa Cheyo anajua hili na Bulembo anajua hili na maandilizi yako very serious! Sasa JK kwa kuwa ulionesha umwamba wako kwa kukata majina ya watu tambua kuwa kuna balaa flani linakuja na kwa kuwa wewe ni mtaalam wa Siasa naomba ukae sehemu iliyotulia think big halafu strategies halafu utoke nalo la sivyo hatapona mtu hapo.
Vijana wa UVCCM kutopata U-UDC kwa asilimia 95% si jambo la bahati mbaya hata kidogo! Imagine Baraza lenye Vijana 100+ eti katoka DC mmoja tu tena mtu mwenyewe sasa (wao wenyewe wanafahamiana uwezo na scandal zao) yaani Wenyeviti wote wa Mikoa wa UVCCM hivi kweli hakuna hata mmoja anayefaa kuteuliwa. Ila cha kushangaza Mkoa wa Vyuo Vikuu ulioanzishwa hata hauna Mwaka top layer yao yote wameteuliwa, Zainab, Ngubiyagai, Happy (hivi kweli??)
Na hao Wenyeviti wa Mikoa hakuna hata mmoja aliyeonekana na wamekaa zaidi ya miaka mitatu wakiokwa ndani ya Jumuiya? Najua wao wanajua na nyie mnajua kuwa this is very strange in CCM's politics! Lakini kwa kuwa kuna yanayoendelea basi Bulembo hakuna vyema kumshauri bwana mkubwa akumbuke Vijana!
Labda niulize hivi ni kada yupi aliyeokwa na mwenye kujua nidhamu za Chama leo ateuliwe na Rais halafu akatae uteuzi? Lakini kwa kuwa makada wameachwa wakateuliwa wasio makada basi yule jamaa yeye akakataa (hata mnibishie but ile ni embarassment na najua ndigu zangu wa CCM hilo mlilichekelea sana)
Na mimi niseme tu nyie wenzetu msidhani kila jambo no siasa nasema haya kwa kuwa ninyi mnaogopa kusema japo najua mmejeruhiwa mno mioyo yenu kwa yaliyofanyika acha sisi tuwasaidie manake yule dada wa Dodoma si kukosa Udc, kuna yule kijana aligombea Ubunge Morogoro kiherehere chake yule si wa kukosa Udc.
Kuna Mtela alitegema kwa 100% kuwa dc hata yule sijui anaitwa Mpui alijua fika lazma awe Dc na wengine wengi ila wako wapi sasa! Halafu eti mseme hamjaumia (ule ule unafki wenu unawagharimu) kuna mmoja kasema eti kwenye teuzi basi wameacha kitamia vifaranga wameenda kutamia mbwa na bado na nasema bado subirini mkakati ukamilike ndo mtajua ngoma inavyonoga.
Speak your mind guys ukada hakuna tena mwoneni mwezenu Bashe anachofanya si siasa tu bali anajenga heshima yake na utu wake kwa Wananchi wake na Taifa kwa ujumla (ila nyie mkiona haya maandishi kwa sababu ya ulofa unachukua simu yako au laptop yake bila kutumia akili utaishia ku-comment hivi "Nyumbu at work") hivi kweli?? Katika yanayoendelea nani hatamkumbuka Kikwete manake jamaa alikuwa na Ukada full (leo nyie mnanong'ona ooooh huyu jamaa hajawahi kuwa kuongozi wa Chama ndo maana sawa hajawahi kuwa so what? Ndo mlichotaka sasa) Anyway ngoja niendelee
Niseme hivi kwa yanayoendelea mi bora wale walioondoka Mnayetaka kumkabidhi Chama haambiliki kuanzia siku mmemkabidhi na hata leo hayuko tayari ku-compromise na nyie ila yuko tayari kuchukua option nyingine murua na mtambue Bulembo kupewa desk pale kwenye nyumba kubwa tena na V8 na escot si jambo la kupuuzia hata kidogo na mkizingatia mwanae ni Mbunge tayari ndo mtaipata fresh yenu watu wana mahesabu makali balaa......
UDP ni ya Kanda yetu na Kanda yetu ndiyo yenye Mamlaka tutazungumza kikwetu kumlinda wa kwetu. Tafakari chukua hatua.... Ukiwa na hasira katika hii game imekula kwako manake kisukari, BP vitawahusu 24/7