Recent content by Shomari SN

  1. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

    Unasimuliwa kisha unakuja kusimulia. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wanawake wa ajabu sana

    Ili apate hiyo 50/50 ni lazima awezeshwe kwanza maana mfumo dume umechukua nafasi kubwa katika jamii. Wanahitaji equal opportunities kwenye elimu, uongozi n.k. Hivyo vyote vinamilikiwa na mwanaume. Ili aanze kuipata 50/50 ni lazima awezeshwe kwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya sentensi hii kwa lugha ya kiswahili

    Wakuu naomba kujuzwa hiyo sentensi ('Framework of agreement' kwa Kiswahili') kwa lugha ya Kiswahili please Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

    Nakuongeza cheo kingine. . Utakuwa Rais wa Kijiji. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Mke wangu bado anawasiliana na Ex wake

    Ili mwishoni apate tuzo ya HIV! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania UEFA Champions league - 16 knock out stage, mechi kali kuliko zote ni Real madrid vs Manchester city

    Sure! Atletico ile ya wabishi na wahuni imepotea siku hizi. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu nijinasue, mke wangu ananiendesha kama gari bovu

    Umesahau kuweka picha ya wife.... ushauri utakuwa batili.
  8. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo afikisha magoli 700, sasa kutoka CR7 hadi, rekodi yake inaendelea kutisha

    We jamaa huendi mbinguni!
  10. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Kipanya awashtukia wateule

    Maelezo kibao ila hujaonyesha alipochumia tumbo. Halafu unapata wapi muda wa kufuatilia matumizi ya fedha ya mtu asiyekuhusu? Kama kampuni ni yake sio mali ya umma.
  11. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa aamuru Mkandarasi Manispaa ya Bukoba na Mkuu wa Shule wakamatwe na kuwekwa ndani

    Ngoja tumsubiri na Mkandarasi naye aongee.
  12. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Beyond Incompetence: Reform the AG Office

    Dawa ya deni kulipa!
  13. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano kuwa baadhi ya fedha za umma zilikuwa/huwa zinaingizwa kwenye akaunti binafsi ya Rais?

    Rais ni taasisi. Hiyo si account binafsi ni account ya Rais. Akitoka madarakani ajaye anaweza kuitumia kwa masuala ya ki-Rais.
  14. Shomari SN

    JamiiForums Tanzania Vijana wadogo Dar kuendesha magari ya kifahari, sie wengine tunakwama wapi?

    Napigilia msumari mkuu!
Back
Top Bottom